Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Kuna wabishi bado wapi, mimi napita once in a while.watakuwa wametumiss sana wakimbizi wao
Kuna wabishi bado wapi, mimi napita once in a while.watakuwa wametumiss sana wakimbizi wao
Unatafuta nini humu usiku wote huu? Na baridi hii unatakuwa kukumbatiwa vizuri.Nimepita
Comfort zone ndio nini ?Swaga zako tu mkuu...
Wazee mniombee, leo niko nje ya comfort zone yangu.
KaribuNimepita
Hhhhh hapo hujasomekaKuna kipindi nilikuwa najua kwamba ana demu
Nakudai nundu zangu na kfireNambie
wa kunkumbatia sina mida hii kila siku kuna mambo mawili huwa nafanyaUnatafuta nini humu usiku wote huu? Na baridi hii unatakuwa kukumbatiwa vizuri.
ahsanteKaribu
mimi hapana kule,hao wabishi watakuwa wamepata michuchu,wewe hujang'oa mchuchu?Kuna wabishi bado wapi, mimi napita once in a while.
Mchuchu nimeshindwa home niweze masafa ya mbali!mimi hapana kule,hao wabishi watakuwa wamepata michuchu,wewe hujang'oa mchuchu?
Tutapanga mchana, hii mida ya usingizi ni noma kuweka mkakati.Nakudai nundu zangu na kfire
Siyo mimi, yeye ndo hasomeki.Hhhhh hapo hujasomeka
Comfort zone; uwanja wa kujidai.Comfort zone ndio nini ?
Hapo nimekuelewa mkuuComfort zone; uwanja wa kujidai.
A comfort zone is a psychological state in which things feel familiar to a person and they are at ease and in control of their environment, experiencing low levels of anxiety and stress.
In this zone, a steady level of performance is possible.
Bardwick defines the term as "a behavioral state where a person operates in an anxiety-neutral position." Brown describes it as "Where our uncertainty, scarcity and vulnerability are minimized—where we believe we'll have access to enough love, food, talent, time, admiration. Where we feel we have some control."
Bado niko locationNimebaki mwenyewe humu[emoji16]
OohBado niko location