Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,886
Nimekuja kufunga geti leo
In-house buzOoh
Kwani agizo la kangi la kufungua biashara usiku kucha limetekelezeka ?
hahaha mkuu likes zilipoteza maana baada ya ujio wa uzi wa kupeana likes kule mtu unaandika neno moja tu unapata mvua ya likesWewe kweli jipu
Uko uko humu toka 2015 una likes 1553[emoji23]
hahaha kuna ukweli ndani yakeWanaokesha hawajaolewa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
Ule uzi wangu pendwahahaha mkuu likes zilipoteza maana baada ya ujio wa uzi wa kupeana likes kule mtu unaandika neno moja tu unapata mvua ya likes
Nataka kulewa lewa,
Nataka kulewa lewa,
Lakini sina pesa!
Usiniulize kwanini, kivipi, wala kwa namna gani .........kama unajali nitumie muamala kupitia 0123 456 789 ili nilewe zangu mie!
Nasubiri muamala wako nilewe zangu mie!Khaaaa!![emoji23][emoji23]
Nasubiri muamala wako nilewe zangu mie!
Nini tena malkia wa JF, muke ya muganga ,ukunywe dawaKichwa kinaumaaa
Ngoja tushushe maombi mkuu, ili mungu akifanyie wepesiKichwa kinaumaaa
Ukimaliza hii ndoto unishtue[emoji40] [emoji125]Nataka kulewa lewa,
Nataka kulewa lewa,
Lakini sina pesa!
Usiniulize kwanini, kivipi, wala kwa namna gani .........kama unajali nitumie muamala kupitia 0123 456 789 ili nilewe zangu mie!
Misukule inanisumbuaNini tena malkia wa JF, muke ya muganga ,ukunywe dawa
Ameeeen pastor wangu major 1 nipo hapaaNgoja tushushe maombi mkuu, ili mungu akifanyie wepesi