Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Yule mtoto banaHahahaha mkuu unanisingizia bhana mi Jana si nilimkatalia asije kwangu mbele yako nikamwambia mi bachelor hivyo badala ya kuja kula asije jikuta analiwa yeye.
Hivi anaishi mkoani ?