Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Hahaha kumbe hata likes nilimpa nyingiView attachment 815376
Nimeangalia na wewe angalia.
Hahaha kumbe hata likes nilimpa nyingiView attachment 815376
Nimeangalia na wewe angalia.
MmhhhUzunguniii
Umebakiwa za nini...Usku mwemaa nimeishiwa nguvu za kuchat
Ndio mkuuHahahaha mkuu mbona mi simmiliki huyo mi sina bifu kumbe ndo maana umechelewa kunifungulia eeeh.
Uwe makini usije ukakosee lindoni utatuingizia hasaraHahaha kumbe hata likes nilimpa nyingi
Ndo shida ya michepuko,watakuwa wamechepuka hawa Mkuu maana baridi limekolea sanaHali hairidhishi maana walinzi wamedorora lindoni
Hahaha leo lindo halina watoto wazuriUwe makini usije ukakosee lindoni utatuingizia hasara
AiseeNdo shida ya michepuko,watakuwa wamechepuka hawa Mkuu maana baridi limekolea sana
Wanakula mema ya Dunia huko walikoHahaha leo lindo halina watoto wazuri
Na laiti km ndo ungekuwa unaanza Wallah ningeandamana aiseeAisee
Huu msimu upite tu
ShukraniSalama jabiri ,mkuu
Kuna watu inaonekana wameingizwa mjiniWanakula mema ya Dunia huko waliko
Uzi umepoa sanaShukrani
Ameolewa?Salama jabiri ,mkuu
Lindo langu liko salama salminiUkiingia salamu ya kwanza ni kukagua lindo
Hiyo ndio namna ya kusurvive mjiniKuna watu inaonekana wameingizwa mjini
Bado sijajuaAmeolewa?
Hahahaha mkuu unanisingizia bhana mi Jana si nilimkatalia asije kwangu mbele yako nikamwambia mi bachelor hivyo badala ya kuja kula asije jikuta analiwa yeye.Ndio mkuu
Afu jana ulipomualika kwako akaghaili kuja kwangu
Hapo sawa, linatakiwa liimarike hivyo kila sikuLindo langu liko salama salmini
Namsikia juu juu sana, ni celebrite sana ee...Bado sijajua
Ilisemekana toka mwaka jana anaolewa mpaka leo kimya