Nipo busy mpaka najiogopa, yaani JF naingia kwa kulishia.Mimi ndo mida yangu hii,nimekumiss mno jirani
Mhh bas njoo tujadiliane maswala flani kule panapoitwa PMKunalalika basi, usingizi ukishakata umekata.
kumekucha sasa kaka umuache awahi majukumu yakeYupo pemben kalala tumejifunika ngozi za pundaaa
Hahahah usiku huwa naweka sura yanguNdio
Saivi tukikutana mtaani nakufahamu kabisa,sitokupita
Na hako ka rangi[emoji16]Hahahah usiku huwa naweka sura yangu
Ila wewe hulal
Upweke ,mkuuIla wewe hulal
Loooh single boy au kazi zimekutenganisha na wifiiiUpweke ,mkuu
Hua naingia bed saa 11 alfajiri
Single boy[emoji16]Loooh single boy au kazi zimekutenganisha na wifiii
Poleeee sana unahitaj mke wa sifa gan dalali nipoSingle boy[emoji16]
[emoji16]sifa ya uaminifu tuPoleeee sana unahitaj mke wa sifa gan dalali nipo
12:45am bado mapema sana...
Timekeeper naona upo kwa kitengo
Yupo wa 24 na 20 weupeee[emoji16]sifa ya uaminifu tu
Na asiwe muhenga
20[emoji16] itapendezaYupo wa 24 na 20 weupeee
Chagua mmoja