Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,077
- 110,770
Wewe tu nanguvu zako, na ninakushauri siku ya kubeba hakikisha umekula na ukashiba, maana bidada ana mtaji wahaja...[emoji13] [emoji13] [emoji13]Una mgawa bure?
Wewe tu nanguvu zako, na ninakushauri siku ya kubeba hakikisha umekula na ukashiba, maana bidada ana mtaji wahaja...[emoji13] [emoji13] [emoji13]Una mgawa bure?
Usiku mwema kamandaEndeleeni na lindo mimi naegesha kwanza
Thubutuuuuuuu! Najipeleka mwenyewe polisi kuripoti kuwa nilijiteka ukiweza kuvaa kanga moko muda huu mafingaNyie mnaishi wapi huko penye baridi sana? Mimi mbona nipo Mafinga lakini muda huu nimekaa nje nimejifunga kanga moja tu[emoji6]
Kuna mtoto humu namuona anarukaruka kama mahare yanayokaribia kuiva, wacha akabemendwe tu.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Umemgawia nani mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] namimi ngoja nitafute pa kuparkSiku hizi wewe una kibali mkubwa, sio tu kuegesha, park kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] namimi ngoja nitafute pa kupark
Enzi hizo ilikua tabu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] simu zimeharibu sana utamu wa maisha!
Ulinigawaje pasipo ridhaa yangu? Natengua maamuzi yakoWenilisha kugawa kitambo.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Akikujibu unitag!Umemgawia nani mkuu?
Ulikuwepo lakini au unasimuliwa tu na akina Ushimen?Enzi hizo ilikua tabu sana
Inapatikana wapi ili kesho asubuhi nikaichukueHakikisha una ilani ya chama
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Akabemendwe......Kuna mtoto humu namuona anarukaruka kama mahare yanayokaribia kuiva, wacha akabemendwe tu.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nilikuwepo. Nimekula sana pesa za wadau. Nikiona ishira tu sibanduki. Kipindi hicho tulikua tunaishi na bi mdogo aliye nizidi kama miaka 3Ulikuwepo lakini au unasimuliwa tu na akina Ushimen?
Whaaaat?[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuna mtoto humu namuona anarukaruka kama mahare yanayokaribia kuiva, wacha akabemendwe tu.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ngoja nikatafute parking...[emoji13] [emoji13] [emoji13]Whaaaat?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nawewe, uniote eeeh!Usiku mwema, siku njema
Inapatikana wapi ili kesho asubuhi nikaichukue
Njoo upark hapa kwangu[emoji12]Ngoja nikatafute parking...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ukisikia unyanyasaji wa kijinsia ndio huu![emoji134]Kama hauna na wala haujui inapatikana wapi, usipark popote tafadhali. Egesha tu