Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
[emoji22][emoji22][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji22][emoji22][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Miss you sis,.[emoji6]hello hellooo
Oyaaaa huchukui kongoro leo,.sikuoni vingunguti hapa muda ndio huu rafiki,.Ndio kilichonshinda! Mi sinaga Maguvu!
Ndio natokaOyaaaa huchukui kongoro leo,.sikuoni vingunguti hapa muda ndio huu rafiki,.
Nilikuona kwa Mbali MKONO Mmoja una ndoo ya utumbo na MKONO mwingine umeshikilia "DERA"Oyaaaa huchukui kongoro leo,.sikuoni vingunguti hapa muda ndio huu rafiki,.
Umechelewa,.au hutaki utumbo leo?Ndio natoka
Kuna mgogo kanichelewesha, nimempa MWEKUNDU akate 9900 yake, ananizungusha kunrudishia chenji yangu!Oyaaaa huchukui kongoro leo,.sikuoni vingunguti hapa muda ndio huu rafiki,.
Hahahahaa,. Dera la leo refuu limenipaje tabuu...aahgNilikuona kwa Mbali MKONO Mmoja una ndoo ya utumbo na MKONO mwingine umeshikilia "DERA"
Sio mgogo wa kwenye mapupu kweli huyo?!Kuna mgogo kanichelewesha, nimempa MWEKUNDU akate 9900 yake, ananizungusha kunrudishia chenji yangu!
Nikashangaaa tangu lini unakuja KIEMBEMBUZI na Dera! Yaani umenifikirisha saba. Vile kulivo na purukushaniHahahahaa,. Dera la leo refuu limenipaje tabuu...aahg
Huyo huyo! Ndio tabia yake?Sio mgogo wa kwenye mapupu kweli huyo?!
Mambo ya asbh haraka haraka nikaona ntachelewa mie nikatafuta kijora changu nikavaa..suruali zipu mbovu basi tafrani,.nimekoma leooNikashangaaa tangu lini unakuja KIEMBEMBUZI na Dera! Yaani umenifikirisha saba. Vile kulivo na purukushani
Weeee,.enhee anausumbufu yule mzee,halafu anapenda kujisahaulisha kama nn mkomalie tuu..Huyo huyo! Ndio tabia yake?
Kanipa 50! Bado 50!Weeee,.enhee anausumbufu yule mzee,halafu anapenda kujisahaulisha kama nn mkomalie tuu..
Kuwa makini. Kiembembuzi sio rafiki kwa Madera. Na hasa km una chura.Mambo ya asbh haraka haraka nikaona ntachelewa mie nikatafuta kijora changu nikavaa..suruali zipu mbovu basi tafrani,.nimekoma leoo
Hhahahh,..we si unanijua mpishi mwenzio nlivyo flat kama iPad,. Sina wasiwasi na hilo kabisaaa[emoji28]Kuwa makini. Kiembembuzi sio rafiki kwa Madera. Na hasa km una chura.
[emoji23][emoji23][emoji23]komaa akumalizie,..me nshafika eneo langu la tukio...nimetafuta kibiriti sikioni aahg jamanii[emoji58][emoji58]nahangaika hapa kupekecha vijiti moto uwake..Kanipa 50! Bado 50!
nikikuangaliaga mgongoni, huwa naamini kabisa wewe Muhindi, kama sio wa Mumbai basi New DelhiHhahahh,..we si unanijua mpishi mwenzio nlivyo flat kama iPad,. Sina wasiwasi na hilo kabisaaa[emoji28]
ushafeli! haziivi leo hizo[emoji23][emoji23][emoji23]komaa akumalizie,..me nshafika eneo langu la tukio...nimetafuta kibiriti sikioni aahg jamanii[emoji58][emoji58]nahangaika hapa kupekecha vijiti moto uwake..
Uwiiii,.[emoji81]nikikuangaliaga mgongoni, huwa naamini kabisa wewe Muhindi, kama sio wa Mumbai basi New Delhi