Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Oohooo...nijibie tuu hata ww[emoji125][emoji125][emoji125]Basi jiandae kujibu shitaka la kufungua geti mapema[emoji23] [emoji23]
Oohooo...nijibie tuu hata ww[emoji125][emoji125][emoji125]Basi jiandae kujibu shitaka la kufungua geti mapema[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] vunjeni kambi za ukapela , naskia ndoani kutamuSi unajua tena baridi na huu u single lazima ni ingie kwenye blanket mapema
Wenye makombe yenu kesheni, sisi Crotia tunalala zetuleo tunakesha mpaka kombe la dunia la mwaka 2022
Vuta jiko ndani kiongozi. Utakuwa umefanya jambo la busara sanaKwa Baridi Hii Lazima Nioe
Siku ya kwanza ya jumaHivi leo siku gani
Salama, Nahitaji Tema Maombi 😀Njema kabisa kondoo
Una mikono ya kukifunua mzee babaa??nipe kitabu na mimi nikifunue [emoji102]
[emoji20][emoji20][emoji20]Inabidi apigwe faini sasa mumu
mikono sina ila nutumia mguu kufunua[emoji23]Una mikono ya kukifunua mzee babaa??
Naona Umemjibu Kiutumishi-tumishi!Siku ya kwanza ya juma
Unaoa kwaajili ya baridi? Joto likianza utamfanyaje huyo mke?[emoji848]Kwa Baridi Hii Lazima Nioe
Hautawezaaaa,pyeeee[emoji14][emoji14]mikono sina ila nutumia mguu kufunua[emoji23]
Kumbe nawe umeona?Naona Umemjibu Kiutumishi-tumishi!
Huu ndio muda muafaka wakuongeza nguvu kazi ya taifa[emoji23] [emoji23] vunjeni kambi za ukapela , naskia ndoani kutamu
Ngoja nimwite Mr. Miller aje akulipie faini ili yaisheOohooo...nijibie tuu hata ww[emoji125][emoji125][emoji125]
ila weweeee, natamani niokote jiwe nikutwange nalo kichwaniHautawezaaaa,pyeeee[emoji14][emoji14]
teh teh,, [emoji23]Huu ndio muda muafaka wakuongeza nguvu kazi ya taifa
Pole! Tatizo unachagua vibovuWenye makombe yenu kesheni, sisi Crotia tunalala zetu
Asante mkuukaribu
Jiko La Nini Tena 😀Vuta jiko ndani kiongozi. Utakuwa umefanya jambo la busara sana