Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Na kweli umejua kunena,.maana nlishavurugwa hapa,..babe wangu njoo jomoni unisaidie,...Ngoja nimwite Mr. Miller aje akulipie faini ili yaishe
Na kweli umejua kunena,.maana nlishavurugwa hapa,..babe wangu njoo jomoni unisaidie,...Ngoja nimwite Mr. Miller aje akulipie faini ili yaishe
Pyeeeeee[emoji14][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]ila weweeee, natamani niokote jiwe nikutwange nalo kichwani
Kumbe nawe ni team FranceKaribu sana dingi
Nitampa Kadi Nyekundu Asubiri Tena Msimu Wa Baridi!Unaoa kwaajili ya baridi? Joto likianza utamfanyaje huyo mke?[emoji848]
umevurugwa[emoji23] [emoji23] uliye mvuruga huyu kiumbe endeleea mzee babaNa kweli umejua kunena,.maana nlishavurugwa hapa,..babe wangu njoo jomoni unisaidie,...
Dah ni kweli pana safari ndefu sana, wengine huenda tukapoteana hapa kati....life's too short mkuuleo tunakesha mpaka kombe la dunia la mwaka 2022
hivo unavokimbia nangojea ufike uchochoroni nikupige mtamaPyeeeeee[emoji14][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Afu we leo umekunywa chimpumu eee..[emoji23]umevurugwa[emoji23] [emoji23] uliye mvuruga huyu kiumbe endeleea mzee baba
tena kaa mbali na mimi, maana kama mbappe[emoji23]Afu we leo umekunywa chimpumu eee..[emoji23]
Nilikuwa France kiongozi. Timu bora yenye watu wengi wenye asili ya africaKumbe nawe ni team France
Kama Mtapoteana, Basi Natanguliza R I P 😀Dah ni kweli pana safari ndefu sana, wengine huenda tukapoteana hapa kati....life's too short mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushindwe kufungua kitabu uniweze mm kunila mtama,cheee...utapata tabu saaana[emoji14][emoji14]hivo unavokimbia nangojea ufike uchochoroni nikupige mtama
Ukishampiga Mtama Utanitag Mkuu 😱opshivo unavokimbia nangojea ufike uchochoroni nikupige mtama
Ujidai[emoji50]kwendraaaaaaatena kaa mbali na mimi, maana kama mbappe[emoji23]
WozzzaAaaaaaaANilikuwa France kiongozi. Timu bora yenye watu wengi wenye asili ya africa
we ndege mjanja[emoji23] kiboko yako tundu bovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushindwe kufungua kitabu uniweze mm kunila mtama,cheee...utapata tabu saaana[emoji14][emoji14]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali niko nyuma yake, alafu ameshaanza kuchoka,, atasimama mda si mrefuUkishampiga Mtama Utanitag Mkuu 😱ops
Na nna hamu nalo kweli hilo tundu mie,.oh yea[emoji16]we ndege mjanja[emoji23] kiboko yako tundu bovu
mh!Na nna hamu nalo kweli hilo tundu mie,.oh yea[emoji16]