HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Mimi mzima! Vip wewe?Poa, mzima?
Mimi mzima! Vip wewe?Poa, mzima?
Acha tu, nimefurahi sanaKwema kabisaaa jirani,.za ushindi?!
Ohoooo,.acha utani mkulima,.ULIKUWA CROATIA NINI
Namshukuru Muumba, siku zinasongaMimi mzima! Vip wewe?
Raha mnooo jirani,.nilibet buana leo, yani nimewinijeee wiki itaanza vema hii,teh tehee!!!Acha tu, nimefurahi sana
[emoji57] [emoji57] [emoji53]Ohoooo,.acha utani mkulima,.
Halla France[emoji111]
Hahahahaa,. Pole mnoooo yani pole sana sweetheart[emoji14][emoji14][emoji14][emoji57] [emoji57] [emoji53]
Vizuri. Leo naona mapema kabisa geti limefunguliwaNamshukuru Muumba, siku zinasonga
Hongera! Kumbe tulikuwa pamojaOhoooo,.acha utani mkulima,.
Halla France[emoji111]
Kama kawaida yetu jirani,.Hongera! Kumbe tulikuwa pamoja
Eeeh, maana siku hizi mnalala mapema kuliko hata kuku, sijui ndio hiki kibaridi uchwara...[emoji53]Vizuri. Leo naona mapema kabisa geti limefunguliwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hongera mkeka umetikiRaha mnooo jirani,.nilibet buana leo, yani nimewinijeee wiki itaanza vema hii,teh tehee!!!
Si unajua tena baridi na huu u single lazima ni ingie kwenye blanket mapemaEeeh, maana siku hizi mnalala mapema kuliko hata kuku, sijui ndio hiki kibaridi uchwara...[emoji53]
[emoji16][emoji16][emoji16]umetiki jiranii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hongera mkeka umetiki