Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Haya weeeSi unajua tena baridi na huu u single lazima ni ingie kwenye blanket mapema
Haya weeeSi unajua tena baridi na huu u single lazima ni ingie kwenye blanket mapema
mumu huyo, ndo kafungua![emoji23]Naona leo kijiwe kimefunguliwa mapema
Karibu sana dingiNaona leo kijiwe kimefunguliwa mapema
[emoji23][emoji23][emoji23]mm nimewapa kitabu msome wakati mnangojea usiku wa ma8 jamanii..[emoji28]mumu huyo, ndo kafungua![emoji23]
HahahahaaSi unajua tena baridi na huu u single lazima ni ingie kwenye blanket mapema
Ulipaswa usubiri mpaka usiku wa manane ndio utupe hicho kitabu[emoji53][emoji23][emoji23][emoji23]mm nimewapa kitabu msome wakati mnangojea usiku wa ma8 jamanii..[emoji28]
Msingeweza kusoma nyie...wee usiku wa manane unauchezea nn...Ulipaswa usubiri mpaka usiku wa manane ndio utupe hicho kitabu[emoji53]
Una bahati jirani! Niliacha kubet, muhindi alinipiga sana.[emoji16][emoji16][emoji16]umetiki jiranii
Basi jiandae kujibu shitaka la kufungua geti mapema[emoji23] [emoji23]Msingeweza kusoma nyie...wee usiku wa manane unauchezea nn...
Me nimebet huu mkeka wa mwisho tuu,..na nimeacha leoleo,.sirudiiUna bahati jirani! Niliacha kubet, muhindi alinipiga sana.
nipe kitabu na mimi nikifunue [emoji102][emoji23][emoji23][emoji23]mm nimewapa kitabu msome wakati mnangojea usiku wa ma8 jamanii..[emoji28]
Inabidi apigwe faini sasa mumumumu huyo, ndo kafungua![emoji23]
KaribuHodii