Mberoya
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 1,314
- 826
Neno "asante" linatumika kama umepewa kitu au huduma au unapokubali au kukataa offer. Kwa mfano, "hapana au ndiyo asante." Sasa wewe baba swalehe hiyo asante uliyonijibu mimi ni kwa ajili ya nini?Asante !