Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Kwakweli ratiba zako sasa hivi sio siri hazieleweki ndugu yetu...hahaha jamani hata kunipigia simu nikaja fast
Uchoyo hauna posho...Uzeee mwisho chalinze mwanaume hazeeki ng'ombe hazeeki maini
But hata mm nmewahiwaaaa
Naam sheikh...Hii inaitwa suna![]()
![]()
Astaghafirulilah...Ndio ndio kiongozi
Sasa kwani we si ni mbabu wewe au ndo umeukubali ukaka?Naona mmeamua kuniharibia bahati yangu...
Ntamwachia shetani asemezane nanyi...
Kwenye party sitakupa ashkilimu...
Babu ananidorishia aisklimu kweli jaman!!!?Hahaha msamehe tu huyo mke wangu...unataka kumdanganya na ashikilimu we mzee hufai
Jirani nimekukosea niniiiiiJilan mambo mengine unayo nifanyia yanauma jilan
kila ninachokifanya jiraniiii mwenzangu waninunuaaaa

Kwani babu hawezi kuwa kaka wa mdogo wake?? We veepee??Sasa kwani we si ni mbabu wewe au ndo umeukubali ukaka?
Hahahaha
Sasa kwani we si ni mbabu wewe au ndo umeukubali ukaka?
Wazee wale wasichana na sie tule vibibiHakika umesamehewa dhambi zako zote za jana, leo na kesho.
Wazee wale wasichana na sie tule vibibi
Lakini hawezi kuwa kaka wa mjukuu wakeKwani babu hawezi kuwa kaka wa mdogo wake?? We veepee??
Unanionea wivu tu, huna lolote...
![]()
we ni kiben80 we babu