Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Hilo haliwezekani... labda itokee tu.Lakini hawezi kuwa kaka wa mjukuu wake
Lakini babu ni mchumba wa mjukuu wake, unajua?
Hilo haliwezekani... labda itokee tu.Lakini hawezi kuwa kaka wa mjukuu wake
Pensi hapana. Wengine miguu yetu inatisha. Haipaswi kuonekana. Na hivi tunashinda majarubani basi ndo balaa kabisaVipensi tu mkuu kwa wote

HallelujahTUKUTANE MCHANGO WANGU NI KRETI 40 ZA BIA.
we sema hivyo halafu useme huwezi kunywa ntakumwagiaHallelujah
Umesahau ulivyopigwa na mchepuko wako kisa vibinti?Hilo haliwezekani... labda itokee tu.
Lakini babu ni mchumba wa mjukuu wake, unajua?
Unaonaje tukishirikiana na Moderator wa JamiiForums ili iwe rahisi kumobilize na hata kutoa update about all this?
Usikonde kunywa tu ndyo talent yanguwe sema hivyo halafu useme huwezi kunywa ntakumwagia
Hahahaaaaaa hapo sasa lazima watu waongee kwa code kuwapoteza wasiojulikanaNawaaangalia tu afu nasema hiiiiiiiiiiiiiii,wasiojulikuna watakuwepo kwny party hio.

Umesahau ulivyopigwa na mchepuko wako kisa vibinti?View attachment 773954
Acha visingizio mama kuna option ya vipensi na viminiPensi hapana. Wengine miguu yetu inatisha. Haipaswi kuonekana. Na hivi tunashinda majarubani basi ndo balaa kabisa![]()
![]()
Hapo angalao nitajaribuAcha visingizio mama kuna option ya vipensi na vimini

Aisee hapo utakuwa umefanya jambo la msingi mno.Hapo angalao nitajaribu![]()
![]()
Mwache apotezewe muda,shera navaa mieNdo maana unaibiwa bila kujua...
![]()
Jirani nimekukosea niniiiii![]()
![]()
kila ninachokifanya jiraniiii mwenzangu waninunuaaaa
![]()
![]()
![]()
![]()
jilan bhanaHapo kwenye angalizo ndo utanikimbiza KurlzawaAisee hapo utakuwa umefanya jambo la msingi mno.
Angalizo hakutakuwa na mirunda nyeusi
Basi nitakuletea cha kunywaHapo kwenye angalizo ndo utanikimbiza Kurlzawa