Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 498
- Thread starter
- #141
Uskose nitakuja na kaka yangu atleast uwe wifi yang au unaonajee baby face wanguSio realy ni fake mpenzii
Uskose nitakuja na kaka yangu atleast uwe wifi yang au unaonajee baby face wanguSio realy ni fake mpenzii
Meetings za wagonga vyombo ndio huwa zinafanikiwa kwa 95%Kila mwaka huwa kunaanzishwa uzi kama huu. Lakini huwa hamleti mrejesho kama mlikutana au alihudhuria mtoa uzi peke yake.
Salama kabisa pacha..Hahahaaa. Usijali Pacha umepata.
Niaje lakini?
My lovely family member, nikirejea lazima niwatafuteMtuambie na dress code kabisa sasa
eeeh hizi hesabu ⅝ unazikumbuka,,Ahahahahahah kush karahsisha

Shooga na mme tayari hiyo nafasi itapendeza walio singleUskose nitakuja na kaka yangu atleast uwe wifi yang au unaonajee baby face wangu
Na bia zako ntakunywa mimi..nyie wekeni tu party bby wangu atakuja kuniwakilisha

Uende kwenye party ukaniwakilisheshukrani kama umenielewa ila shem wangu jollie amenikalia kohoni![]()
![]()
hahahahaaUskonde mpenzi napenda wanaume wanaopenda kukubali mistake zao for real kama upo hivi ktk maisha yako wifi atakuwa anafaidi hataree

Ndio nilishtuka nikasema umeamua ku verify accntHalaf kwelii
Bia uje nazo home na mi nina tumbo bbyNa bia zako ntakunywa mimi..![]()
![]()
Akuwakilishe kivipiUende kwenye party ukaniwakilishe

Pande zipi mkuu?Meetings za wagonga vyombo ndio huwa zinafanikiwa kwa 95%
Mwaka huu itatimia tu maadam ipo chini ya super dooper woman mbona tutakutana na kubadilishana mawazo ikibidi mgeni rasmi awe Maxence MeloKila mwaka huwa kunaanzishwa uzi kama huu. Lakini huwa hamleti mrejesho kama mlikutana au alihudhuria mtoa uzi peke yake.
Mkienda nyie ni kama nimeenda mimi bby wanguAkuwakilishe kivipi![]()
Sawa sawaMwaka huu itatimia tu maadam ipo chini ya super dooper woman mbona tutakutana na kubadilishana mawazo ikibidi mgeni rasmi awe Maxence Melo
Kabisa kabisa,,,tutakuja kupanga moja humu,si unajua walev hatuna makuu hata chini ya mti viti vinawekwa vyombo vinagongwa kama kawaPande zipi mkuu?
Najua wagonga vyombo siku zote wana umoja usio kifani.
Uende kwenye party ukaniwakilishe
lipia kadi kwanza,