JamiiForums kila mtu tajiri na msomi

Ni kosa la jinai humu jf kuwa na gari,nyumba na kusoma. Ukitaka amani sema umepanga chumba kimoja tandale,usafiri wako daladala na uliishia la saba.
Hahaaa!Mimi bwana naishi maisha yangu kua wapo feki na real pia..Mimi sijapanga naishi kwenye nyumba za urithi yangu iko Dom kisasa na mwanza!japo mzazi mwenzangu yeye ndo anazikontrol but kuna nguvu yangu gari kwa sasa sina!

Usiogope mtu ishi maisha yako!jf kuna watu wana husda hawapendi kuona Fulani yuko juu hizo ni neema tu wengine wazazi wetu waliwahi ujanja hapa mjini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nije PM nijiweke....niachane na chumba cha kupanga.
 
Heee jamani. Kama ni kweli mtu anayaishi hayo maisha kwanini asiseme. So mwenye gari aseme anatembea kwa miguu ili kukuridhisha nafsi yako

Work hard na wewe uyapate. Acha wivu
 
Back
Top Bottom