JamiiForums kila mtu tajiri na msomi

Kwenye elimu kidogo kuna utofauti. Mtu akikaa JF hata kama kaishia la saba ni ngumu sana kumjua kuwa huyukaishia la saba kwa sababu anakuwa hana tofauti na member wengine wanaotazamwa kuwa na elimu ya kimadarasa. Hii inatokana na ku cope na mazingira ya uandishi na kujoji au aina ya reasoning anayo idapt. Kuhusu hali za chini kiuchumi mbona liko wazi kuna wa hali nzuuuri na waliokwama wapo nyuzi kibao zipo za waliokwama
Mkubwa safi sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu ndani hakuna maskini wakuu, humu hakuna mwenye njaa ya pesa ndogo ndogo , wote humu kweny akaunt tuna hela za kutosha sana, humu ukisema unamiliki vitz shauri yako mwenyewe na umaskini wako humu sisi tunamiliki mikoko ya maana tena sana, ukiwa humu wewe una nyumba, sasa kama umepanga utajijua mwenyewe sisi humu wote tunamiliki mahekalu, kuhusu simu ndo usiseme sisi humu bhana ni Samsung na iPhone kutokana na majukum ya kusomesha watoto nje na safari nying tukibanwa ndo tunatumia Xiaomi..

Wanawake wa humu wate ni classic, shauri yako.. wanawake humu wote wanalalamika jiji la Dar linakera folen wanapokuwa kwenye magari yao kurudi nyumban, wanawake wa humu wote wanamiliki mahandsome, sasa wew kama mume wako sio handsome hamia tu Facebook, we umewahi kusikia mwanamke mama ntilie humu.. weeeee.. humu wote ni degree holders na mishahara yao sio chini ya 3 million, nani apokee laki 3.. wewe..

Kila mtu humu anajua, hakuna mbumbumbu wa kitu chochote, humu ndani hakuna bwege wote wajanja, wa mjini wenye maisha mazuri, kazi nzuri na mishahara minono..

Hii ndo jamii forum bhana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahajahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa!Mimi bwana naishi maisha yangu kua wapo feki na real pia..Mimi sijapanga naishi kwenye nyumba za urithi yangu iko Dom kisasa na mwanza!japo mzazi mwenzangu yeye ndo anazikontrol but kuna nguvu yangu gari kwa sasa sina!

Usiogope mtu ishi maisha yako!jf kuna watu wana husda hawapendi kuona Fulani yuko juu hizo ni neema tu wengine wazazi wetu waliwahi ujanja hapa mjini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea dear

Hiyo ni perception yako!!! Sidhani ulichokiongea kina ukweli wowote , tena wewe ni member since 2015!! Au umevurugwa!!!
Kama una shida omba msaada humu wadau tutakusaidia.
 
Hahaaa!Mimi bwana naishi maisha yangu kua wapo feki na real pia..Mimi sijapanga naishi kwenye nyumba za urithi yangu iko Dom kisasa na mwanza!japo mzazi mwenzangu yeye ndo anazikontrol but kuna nguvu yangu gari kwa sasa sina!

Usiogope mtu ishi maisha yako!jf kuna watu wana husda hawapendi kuona Fulani yuko juu hizo ni neema tu wengine wazazi wetu waliwahi ujanja hapa mjini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh, safi sana

101-03-821.M|T|C
 
Swafiiii sana !
Umenena na kama ambao wapo na wakaikubali kauli yako basi itakuwa kwao walahi!
Na walio ikataa kauli yako nao watakuwa masikini milele walahi!
Asante sana kwa MANENO ya kujenga walahi
 
Humu ndani hakuna maskini wakuu, humu hakuna mwenye njaa ya pesa ndogo ndogo , wote humu kweny akaunt tuna hela za kutosha sana, humu ukisema unamiliki vitz shauri yako mwenyewe na umaskini wako humu sisi tunamiliki mikoko ya maana tena sana, ukiwa humu wewe una nyumba, sasa kama umepanga utajijua mwenyewe sisi humu wote tunamiliki mahekalu, kuhusu simu ndo usiseme sisi humu bhana ni Samsung na iPhone kutokana na majukum ya kusomesha watoto nje na safari nying tukibanwa ndo tunatumia Xiaomi..

Wanawake wa humu wate ni classic, shauri yako.. wanawake humu wote wanalalamika jiji la Dar linakera folen wanapokuwa kwenye magari yao kurudi nyumban, wanawake wa humu wote wanamiliki mahandsome, sasa wew kama mume wako sio handsome hamia tu Facebook, we umewahi kusikia mwanamke mama ntilie humu.. weeeee.. humu wote ni degree holders na mishahara yao sio chini ya 3 million, nani apokee laki 3.. wewe..

Kila mtu humu anajua, hakuna mbumbumbu wa kitu chochote, humu ndani hakuna bwege wote wajanja, wa mjini wenye maisha mazuri, kazi nzuri na mishahara minono..

Hii ndo jamii forum bhana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom