Tumesoma vitu vingi kuhusu historia, tumesikia pia zikisilimuliwa ila zipo ukisikia unahisi kama kuna namna kuna kipande kilipindishwa na ukweli wake kufichwa.
Mfano mie kila nikisikia kuhusu Maeneo fulani ya nchi yetu yenye vivutio kugunduliwa na wagezi huwa naona kuna uongo kabisa, haiwezekani mtu aje kugundua Ziwa Viktoria, ina maana Wasukuma waliokuwa Mwanza miaka yote walikuwa hawajaona ziwa, labda kama walipindisha ili kujipa majina yao na pengine kipindi wanaenda kugundua walikuwa wamebebwa na wenyeji ili wakagundue eneo la wenyeji.
Zipo historia nyingi zina uongo mwingi kuliko ukweli, ni kama tu binadamu kuwa nyani zamani huo huwa naona uongo pia.
Eti ndugu, ni kipi kila ukisikia kwenye historia unaona tulipigwa?