Jamii ipi inahusiaka kwenye hili...?

Jamii ipi inahusiaka kwenye hili...?

Huu uzi nasoma kwa makini sana kama desa na nitachukua notsi kabisa

Asante baba paroko
 
Nlizoea kuskia wakisema wachaga wana iyo tabia( sina ushahidi japo I am)Lakini siku izi si kabila tena, ni udigitali wa dunia.
 
Mpaka uje kuoa utakua ushafanya research za kutaosha kuhusu hawa viumbe.Keep it up!
 
Kaka Matola kamaliza, mwanaume asipoendesha maisha yake na mahusiano yake kama mwanaume, kama kichwa; hata kama mwanamke ni mzaramo atapata jeuri ya kumkalia kichwani. Ndio maana lara 1 ndio perfect match na Matola.

lakini kwanza tusije tukakosea definition ya kuendeshwa/kukaliwa kichwani. Kumshauri mwanaume na kushirikiana nae kujenga, kununua mashamba na magari ama hata kuwekeza huko sio kumkalia kichwani. Lakini mwisho wa siku, a strong man is always positive. Akishauriwa haoni kadharauliwa.

mwanamke yeyote anaejijua ana akili na yuko aggressive, bora asiolewe na a weak man. Itakuwa mateso hata kwake aisee
 
Last edited by a moderator:
Ukioa mwanamke ambaye kwao wamezaliwa madume wengi yeye mwanamke peke yake huwa anajiisi kuwa naye ni dume, hivyo inakuwa tabu kumheshimu mume wake. Anapenda mapambano bila kujua jinsia yake.
 
hii issue sasa hivi siyo ya kabila bali asilimia kubwa ya wanawake wa leo wanapenda kuwatawala waume zao, na hili ni kosa la wanaume wenyewe kutoact like a man tangu mwanzo wa mahusiano.

Ewaaa haya maneno. Kusemea kabila au jamii fulani hii nadhani tunarudi kulekule kwenye ukabila/udini. Mambo kama haya mara nyingi hutokea mijini kwenye michanganyiko ya makabila jamii na dini. ukienda vijijini ambako sehemu kubwa ni watu wa jamii/kabila/dini moja ni aghalabu sana kukuta mambo haya.

naungana nawe kwenye hoja ya ulimbukeni wa wanaume wa kushindwa kujitambua tangu mwanzo wa mahusiano. lakini pia kuna tamaa za wanawake kutaka mashindano kiasi cha kwenda mpk kwa masangoma, kiburi cha fedha ambazo wamama wanakikamata miaka hii na kiwango cha elimu pia. ni wanawake wachache sana wanaowazidi waume zao elimu na kipato ambao wanakubali kuwaachia waume zao uongozi wa nyumba.

laiti dunia hii ingekuwa inatawaliwa na wanawake, jiulize na ujijibu, hasa ukizingatia wenyewe kwa wenyewe tu hawaivi.

Babu ODM narejea kitandani kumalizia usingizi.
 
Nafikiri utatusaidia kutatua kitendawili hapa. Kwa hiyo mwanaume aliezaliwa kwenye familia yenye wanawake wengi nae anajisikia kuwa mwanamke?

manake siku hizi wanaume wanakera. Yaani kuna mtu anafanya mambo yake lakini unatamani umpe kelebu, sema sasa ni office mate utafukuzwa kazi. Sijui nimvizie bar?
Ukioa mwanamke ambaye kwao wamezaliwa madume wengi yeye mwanamke peke yake huwa anajiisi kuwa naye ni dume, hivyo inakuwa tabu kumheshimu mume wake. Anapenda mapambano bila kujua jinsia yake.
 
Ukioa mwanamke ambaye kwao wamezaliwa madume wengi yeye mwanamke peke yake huwa anajiisi kuwa naye ni dume, hivyo inakuwa tabu kumheshimu mume wake. Anapenda mapambano bila kujua jinsia yake.
Duh hii si kweli hata kidogo, tena ukweli waweza kuwa kinyume chake. Naweza kuapa walah...
 
Duh hii si kweli hata kidogo, tena ukweli waweza kuwa kinyume chake. Naweza kuapa walah...

Mkuu uko sahihi katika hili Kama ni binti atajifunza mengi kutoka kwa ndugu zake hivyo haitamsumbua kuishi na mmewe kwani atajua nafasi yake ni ipi.
 
Kaka Matola kamaliza, mwanaume asipoendesha maisha yake na mahusiano yake kama mwanaume, kama kichwa; hata kama mwanamke ni mzaramo atapata jeuri ya kumkalia kichwani. Ndio maana lara 1 ndio perfect match na Matola.

lakini kwanza tusije tukakosea definition ya kuendeshwa/kukaliwa kichwani. Kumshauri mwanaume na kushirikiana nae kujenga, kununua mashamba na magari ama hata kuwekeza huko sio kumkalia kichwani. Lakini mwisho wa siku, a strong man is always positive. Akishauriwa haoni kadharauliwa.

mwanamke yeyote anaejijua ana akili na yuko aggressive, bora asiolewe na a weak man. Itakuwa mateso hata kwake aisee

Kuna njia nyingi za kumuua mtu, pia kuna njia nyinhi za kushika madaraka! Na qazaramo tuna njia zetu hayaaaa!
 
Back
Top Bottom