Jamii ipi inahusiaka kwenye hili...?

Jamii ipi inahusiaka kwenye hili...?

Hapa ninazungumzia uhalisia wa kutawaliwa na sio third party

Lakini hivi ni kwanini mumeo afue halafu wewe umekaa tu?
Kuna kitu ambacho hakiko sawa hapo!
mapenzi tu...... tunaweza amka asubuhi, sijafanya lolote na mume wangu akaamua tu kuniambia "leo nitafua mimi", nataka tu uwe karibu na mimi sehemu ya kufulia ili tutie stori....... isn't it cool?
Utasema kibongobongo siyo cool, ila hapa hapa bongo watu wanafanya haya

hapo hapo kwenye uhalisia, wanaume wengi wanaolalamikiwa kutawaliwa siyo wao wanaolalamika, ila wengine ndo wanalalamika kwa niaba yao. hata hapa bado sijasoma mwanaume ambaye amekiri kutawaliwa na mkewe, ninachoona tu ni watu wanawasemea waume wanaotawaliwa. Natamani sana kujua kutoka kwa mwanaume ambaye anatawaliwa aniambie ni kipi ambacho kinamfanya aone anatawaliwa? tusiwasemee watu
 
Hili nakubaliana na wewe

Unachotakliwa kukitilia maanani hapa Madam ni kuwa hili ni tatizo la kisaikolojia kwa asilimia zaidi ya 85

Watu wenye matatizo haya mara nyingi wenyewe hawaoni kama hilo ni tatizo bali wanajiona kama ni watu ambao wako kawaida kabisa na hapo ndipo unapokuja kuona hakuna malalamiko kutoka kwa wahanga

Kama kuna mwanaume ambae anakutana na ufujaji huu na akagundua ni tatizo na akashindwa kusema huyu tatizo lake ni tofauti na hawa ni wachache kwasababu lazima kwenye mahusiano haya migogoro itaibuka na unakuta baba anaamua kufanya ambayo hastahili kufanya for the sake of their kids au kitu kingine,lakini mara nyingi hawa watakuja kuparaganyika tu

Kimsingi hili ni tatizo la kihisia na wenye matatizo haya huwa hawajui kama ni tatizo!
 
umeona hapo mwanzo nilipoandika kuhusu mume kufua na mke kukaa akimtilisha stori ulishaona kuwa kuna kitu ambacho siyo sawa....... na ukauliza kwa nini iwe hivyo...... wewe kama mtu wa nje tayari ulishaona kuwa hilo siyo sawa..... nilipokuambia ni mapenzi ukakubaliana na mimi......
hapa namaanisha kwamba..... usifikiri watu ambao mnadhani wanatawaliwa wao hawajui kuwa wanafanya yale ambayo nyie mnadhani wanatawaliwa...... ila kwa vile wanajua sababu za wao kufanya yale, wanaona poa tu na maisha yanasonga mbele, ila watu ambao hawajui sababu za wao kuyafanya hayo wanaona kuwa siyo poa na hivyo kuhitimisha kuwa wanatawaliwa
 
makubaliano ya ndani ya wanandoa huwa ni kitendawili kwa watu wa nje......
kweli kumlipia mdogo wako ada ni jambo la kulifanya bila makubaliano na mkeo? je ikifikia siku ukashindwa kutoa hiyo ada, mkeo asikusaidie? kwani kuna shida gani kulipia mdogo wako ada mpaka uamue kufanya bila kumshirikisha mkeo? na vipi ikiwa mke anaamua kumlipia mdogo wake ada bila kumshirikisha mumewe?
kuhusu kuamulia ugomvi hayo yanatokana na mtazamo wa mume ukoje..... hujawahi ona mama mkwe anajiliza bila sababu akisingizia mke kamtukana na mume akamvamia mkewe bila kumwuliza mke yalikwendaje? hapo sasa nani anamtawala? mama?
Dada yangu.... kuna wakati mke anakuwa na sababu za msingi za kukataa kufanya hivyo zinakuwa ni chuki binafsi tu....ndugu wa mume hataki wasaidiwe lakini ndugu zake anawapa vitu vingine ambavyo ni luxury tu havina hata ulazima. sasa kwa vile kuna wanaume huwa wanakurupuka kugombeza wake zao ndo tuhalalishe wanaokurupuka kugombeza mama na dada zao? Nimeongea upande mmoja koz ndiko mada yetu ilipojikita.....
 
Ee Mungu nijalie mke kama mama yangu,
nikiwa naye nisiwaze kuwa natawaliwa...
 
umeona hapo mwanzo nilipoandika kuhusu mume kufua na mke kukaa akimtilisha stori ulishaona kuwa kuna kitu ambacho siyo sawa....... na ukauliza kwa nini iwe hivyo...... wewe kama mtu wa nje tayari ulishaona kuwa hilo siyo sawa..... nilipokuambia ni mapenzi ukakubaliana na mimi......
hapa namaanisha kwamba..... usifikiri watu ambao mnadhani wanatawaliwa wao hawajui kuwa wanafanya yale ambayo nyie mnadhani wanatawaliwa...... ila kwa vile wanajua sababu za wao kufanya yale, wanaona poa tu na maisha yanasonga mbele, ila watu ambao hawajui sababu za wao kuyafanya hayo wanaona kuwa siyo poa na hivyo kuhitimisha kuwa wanatawaliwa

Mimi sijasema kila mtu kumbuka!
 
hands up!!!!!!
kwa mtazamo huu, hata aje nani, hatafanikiwa kunifanya nielewe maana ya kutawaliwa.......
ngoja niache watu watawale waume zao

This statment is a problem by itself ........

Kwanini unashindwa kuelewa hapo?

Hebu niambie ni wapi hujaelewa niingie darasani sasa hivi!
 
umeona hapo mwanzo nilipoandika kuhusu mume kufua na mke kukaa akimtilisha stori ulishaona kuwa kuna kitu ambacho siyo sawa....... na ukauliza kwa nini iwe hivyo...... wewe kama mtu wa nje tayari ulishaona kuwa hilo siyo sawa..... nilipokuambia ni mapenzi ukakubaliana na mimi......
hapa namaanisha kwamba..... usifikiri watu ambao mnadhani wanatawaliwa wao hawajui kuwa wanafanya yale ambayo nyie mnadhani wanatawaliwa...... ila kwa vile wanajua sababu za wao kufanya yale, wanaona poa tu na maisha yanasonga mbele, ila watu ambao hawajui sababu za wao kuyafanya hayo wanaona kuwa siyo poa na hivyo kuhitimisha kuwa wanatawaliwa

Madam kuna makubaliano yanayofanyika ndio lakin kuna circumstance unaona kabisa kuwa hapa mwanaume ameamua tu afanye kwa sababu hana jinsi.....mwanamke akifua anachukua zake tu anafua za mume zinabaki. Huyo kaka yangu anayefua ukithubutu kupeleka pua yako nyumbani kwake umkute anafua ndo imekula kwako....anakuachia lundo....hivi kama huyo unaweza kusema anafanya hayo kwa furaha? Huku nje anaweza kujifanya it's ok ili kuwaziba midomo ila ya ndani ni siri yake
 
mapenzi tu...... tunaweza amka asubuhi, sijafanya lolote na mume wangu akaamua tu kuniambia "leo nitafua mimi", nataka tu uwe karibu na mimi sehemu ya kufulia ili tutie stori....... isn't it cool?
Utasema kibongobongo siyo cool, ila hapa hapa bongo watu wanafanya haya

hapo hapo kwenye uhalisia, wanaume wengi wanaolalamikiwa kutawaliwa siyo wao wanaolalamika, ila wengine ndo wanalalamika kwa niaba yao. hata hapa bado sijasoma mwanaume ambaye amekiri kutawaliwa na mkewe, ninachoona tu ni watu wanawasemea waume wanaotawaliwa. Natamani sana kujua kutoka kwa mwanaume ambaye anatawaliwa aniambie ni kipi ambacho kinamfanya aone anatawaliwa? tusiwasemee watu

Alalamike alazwe mzungu wa nne? Kuna wanaume wako well mannered na ni wacha Mungu hawawezi kuchepuka.....wanategemea utamu wa ndoani tu...lazima wajikakamue kuonesha nothing is wrong....hiyo ya mara mojamoja kuosha vyombo na kupika mimi sina tatizo nayo kabisaa....ni sehemu ya kunogesha penzi
 
Hapa ninazungumzia uhalisia wa kutawaliwa na sio third party

Lakini hivi ni kwanini mumeo afue halafu wewe umekaa tu?
Kuna kitu ambacho hakiko sawa hapo!

Unaona sasa!
Ennhennnhe ndo mana mi nilijiilzia kutawaliwa ni kupii?
Ku
 
Mwanaume ni kiongozi mkuu wa familia

Maamuzi yote yanatoka kwa kiongozi huyu

Kama anashindwa kutoa maamuzi yote huyo ametawaliwa!
Diiiih!(,,,in my dotaz voice)
Ndo mana nilijiulizia kutawaliwa mume ni nini?
Kwa hiyo ili nisionekane namtawala mume Wang inabid nisiamue chochote kifamilia!
Santeeeee!
 
Back
Top Bottom