Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
- Thread starter
- #41
charminglady ........!!Aiseee babaangu, nahisi lile kabila letu lileeee!!!!
Last edited by a moderator:
charminglady ........!!Aiseee babaangu, nahisi lile kabila letu lileeee!!!!
Nafikiri utatusaidia kutatua kitendawili hapa. Kwa hiyo mwanaume aliezaliwa kwenye familia yenye wanawake wengi nae anajisikia kuwa mwanamke?
manake siku hizi wanaume wanakera. Yaani kuna mtu anafanya mambo yake lakini unatamani umpe kelebu, sema sasa ni office mate utafukuzwa kazi. Sijui nimvizie bar?
Ewaaa haya maneno. Kusemea kabila au jamii fulani hii nadhani tunarudi kulekule kwenye ukabila/udini. Mambo kama haya mara nyingi hutokea mijini kwenye michanganyiko ya makabila jamii na dini. ukienda vijijini ambako sehemu kubwa ni watu wa jamii/kabila/dini moja ni aghalabu sana kukuta mambo haya.
naungana nawe kwenye hoja ya ulimbukeni wa wanaume wa kushindwa kujitambua tangu mwanzo wa mahusiano. lakini pia kuna tamaa za wanawake kutaka mashindano kiasi cha kwenda mpk kwa masangoma, kiburi cha fedha ambazo wamama wanakikamata miaka hii na kiwango cha elimu pia. ni wanawake wachache sana wanaowazidi waume zao elimu na kipato ambao wanakubali kuwaachia waume zao uongozi wa nyumba.
laiti dunia hii ingekuwa inatawaliwa na wanawake, jiulize na ujijibu, hasa ukizingatia wenyewe kwa wenyewe tu hawaivi.
Babu ODM narejea kitandani kumalizia usingizi.
Tumia hii .....
![]()
Af watakusindikiza mpakani ujuee!umenipa wazo. ngoja nikamlengee nairobi, tukienda kwenye training. manake polisi wa nairobi nao wanakimbia na kujificha wakisikia mirindimo hehehe
Kwanini mnaamini mwanamke akiwa na pesa sijui elimu kuzidi mume au mwanaume tafsir yake ni kutawaliwa?Siku hizi hakuna kabila lenye wanawake wanaowatawala wanaume, makabila yote Tanzania mwanamke akiwa na pesa zaidi ya mwanaume basi atamtawala tu
Kwa aina ya michanganyo ya tamaduni tuliyonayo sasa hiv sidhani kama bado watu wamebaki na tabia za kabila au jamii Fulani
Mi mfano ni miksa ya kufa mtu!wanangu ndo kabisaaaaaaa !shule nilisoma day nikaenda boarding kakutana na miksa zibgine unaamini leo hii tabia zangu zozote utasema ni kwa sababu mngoni?sidhani!
Malezi na kukua kwangu tulifundishwa kujitegemea!yani kimsingi huwa siwezi kusubiri kufanyiwa kitu
Saaasa kwa malezi hayo ukikutana na mwanaume anasubir akukaripie ili umuogope kumchallange a see lazma pawe pagumu!
Kwa hiiiiyo wanaume mjifunze kuwasoma zaidi wanawake,zipo species zingine msizipe nafasi ya kutumia charisma Zhao.lazma ujihisi umetawaliwa au ndugu yako ametawaliwa!.
Af ni vere simpo hamjui tu!
Ngoja niseme kitu hapa.......Kwanini mnaamini mwanamke akiwa na pesa sijui elimu kuzidi mume au mwanaume tafsir yake ni kutawaliwa?
Hiv ni kosa mtoto wa kike kumiliki assets?
Wazazi wanafanya kosa kuwasomesha binti Zhao?.
And hebu tuambizane hapa" kutawaliwa " kupoje? Nini kinaonyesha fulani anatawaliwa?
Halafu wewe, hivi id yako ya siku zote ni ipi? Manake hii sauti hii, naijua banaa!
Jamani sasa hz hali ya uchumi imekuwa ngumu sana ajira ndo kama hivyo mnavyoona vijana hawana ajira wakiitwa 70 wanaenda 10000 nyie hamuuni ni tatizo? Ninapoona mtu anaandika ukabila nasikitika huoni unatengeneza chuki na watu kama nimeshaowa Hilo kabila nifukuze!! Acheni hizo mambo za ukabila bwana mwanaume ili uwe kichwa cha familia lazima ujitume usipojituma hata ungeowa mzaramo kama yeye ndo anaendesha familia lazima mwanamke awe kichwa cha familia anaetoa matumizi home ndo kichwa cha familia!!
Daah kesi gani tena?
Tabia ya mwanadamu kwa asili ni muigo!Unaweza kuchanganya mayai ya bata,kuku na kunguru halafu ukategemea wote wazaliwe bata?
Kumbuka mtoito wa nyoka hafundishwi kuuma hata akilelewa kwenye sakafu na kapeti!