Jamii ipi inahusiaka kwenye hili...?

Jamii ipi inahusiaka kwenye hili...?

Tabia ya mwanadamu kwa asili ni muigo!
Jamii zetu hazifungamani kama zamani baba paroko!
Zamani binti akiolewa kijiji cha kuvuka mto anakuwa labelled kuwa kaolewa mbali!
Siku hizi mzaramo anaolewa na mjapani wanaenda kuishi upareni!huyo mtoto akiwa na tabia za kutawala mume utasema ni jamii inahusika?

Do you believe this?
 
hii issue sasa hivi siyo ya kabila bali asilimia kubwa ya wanawake wa leo wanapenda kuwatawala waume zao, na hili ni kosa la wanaume wenyewe kutoact like a man tangu mwanzo wa mahusiano.
naomba definition ya mwanamke kumtawala mwanaume, please.
Kuna siku nilikuwa na watu fulani wanalalamika ni jinsi gani ndugu yao anatawaliwa na mkewe, nilipowauiza huyo mke anafanya nini mpaka waone anatawaliwa nilichoka na jibu nililopewa.
Unajua watu siku hizi wanaishi na wake zao kwa kushauriana na kusaidiana. sasa ndugu au marafiki wa mume wakisikia/wakiona mtu anashauriana na mkewe kabla ya kufanya amuzi fulani wanaona mke anamtawala..... wanasema jamaa hawezi fanya maamuzi bila mkewe..... jamani tuwe serious.
Mimi ndo mama mwenye nyumba, haiwezekani baba anajiamulia tu kwenda kununua nyumba/kiwanja masaki bila kutaka ushauri toka kwangu. je ni sawa kununua/kujenga huko? mimi nataka kuishi masaki? hata kama mimi siyo mtoaji wa hela lakini mimi pia ni mkaazi wa hiyo nyumba, natakiwa kutoa ushauri wa jinsi na sehemu ya kukaa. kwa mtazamo wangu huu sio ukaalizi wa kichwa.
wengine wanasema yule baba anafua, anadeki, anapika....... jamani...... kuna shida gani mume wangu akiamua kwa hiyari yake kuandaa dinner ya familia yake? au kufua nguo za mpenzi mkewe au wanawe na kumpumzisha mke wake? labda kama anashikiwa viboko kuyafanya hayo, lakini kama anafanya kwa hiyari yake mimi sioni kama ni tatizo.
 
Na mimi nimeuliza hii!
Usikute tunaongea maji na mafuta!
Kutawaliwa na mke ni kupi?
 
Kuna mwanaume hawezi kufanya kitu mpaka MKE ASEME.... yan hata mdogo wake akioma ada mpaka mke amwambie mpe au usimpe. Sawa hutaki kukaa Masaki...una sababu gani za msingi za kukataa kukaa huko. Kuna wanaume wengine nakwambia hawajitambui mpaka wanakera...akisikia mke wake kagombana na wifi au ma mkwe hana muda wa kufuatilia....madam kamuona mkewe analia kilio cha uongo na ukweli anaenda kuwasha moto kwa dada zake. Kushauriana kupo lakini isiwe kushinikiza...mwanamke anayemtawala mumewe hashauri ila anashinikiza. Mguse sasa yeye kwenye mambo yake mf. biashara au kazi yake uone moto....
 
Ni kweli hujui kumtawala mwaume ni kupi bibie?

Mtu kufanya jambo lake kwa hiyari sio kutawaliwa!
 
Na mimi nimeuliza hii!
Usikute tunaongea maji na mafuta!
Kutawaliwa na mke ni kupi?
ni kweli mdogo wangu....
ngoja tusubiri jibu pia kwa mtoa mada Eiyer....... kabla hatujatoka nje ya mada
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli hujui kumtawala mwaume ni kupi bibie?

Mtu kufanya jambo lake kwa hiyari sio kutawaliwa!

Na hiari maana yake nini? Nina kaka yangu sijawahi kuona mkewe anamfulia nguo...unaweza kusema ni hiari hiyo kweli? Ya kila siku maisha yote?
 
Na mimi nimeuliza hii!
Usikute tunaongea maji na mafuta!
Kutawaliwa na mke ni kupi?
Mwanaume ni kiongozi mkuu wa familia

Maamuzi yote yanatoka kwa kiongozi huyu

Kama anashindwa kutoa maamuzi yote huyo ametawaliwa!
 
Na hiari maana yake nini?
Kufanya jambo bila shuruti yoyote ile
Nina kaka yangu sijawahi kuona mkewe anamfulia nguo...unaweza kusema ni hiari hiyo kweli? Ya kila siku maisha yote?
Hapana hii sio hiyari

Hapo kunaweza kuwa na mambo mengi,lakini kitendo hicho ni ishara ya mwanaume kutokuwa "in control" kwenye familia yake kama mume!
 
Ni kweli hujui kumtawala mwaume ni kupi bibie?

Mtu kufanya jambo lake kwa hiyari sio kutawaliwa!
Ila ukubali pia watu wakija hapa kwangu na wakakuta nimejipumzisha namtilisha hubby story wakati yeye anafua wakitoka hapo watasema "namtawala mume wangu", hawajui kama mume kataka kufua nguo wala nini......
Na ndo maana utakuta wanaolalamika kuwa mume anatawaliwa siyo mume mwenyewe bali ni third part....... hawajui kwa nini mume anafanya hayo, wao wanachojua ni kuwa kazi za kupika, kufua, kudeki..... ni za mke, mume akifanya basi kashinikizwa, hapo wanaconclude anatawaliwa
 
Kwanini mnaamini mwanamke akiwa na pesa sijui elimu kuzidi mume au mwanaume tafsir yake ni kutawaliwa?
Hiv ni kosa mtoto wa kike kumiliki assets?
Wazazi wanafanya kosa kuwasomesha binti Zhao?.
And hebu tuambizane hapa" kutawaliwa " kupoje? Nini kinaonyesha fulani anatawaliwa?

Don't take life too serious mwalimu wangu...utaishia kupata muscle pull ya dole gumba bure kama kule kwa yule mjamaa!!!
 
Ila ukubali pia watu wakija hapa kwangu na wakakuta nimejipumzisha namtilisha hubby story wakati yeye anafua wakitoka hapo watasema "namtawala mume wangu", hawajui kama mume kataka kufua nguo wala nini......
Na ndo maana utakuta wanaolalamika kuwa mume anatawaliwa siyo mume mwenyewe bali ni third part....... hawajui kwa nini mume anafanya hayo, wao wanachojua ni kuwa kazi za kupika, kufua, kudeki..... ni za mke, mume akifanya basi kashinikizwa, hapo wanaconclude anatawaliwa

Hapa ninazungumzia uhalisia wa kutawaliwa na sio third party

Lakini hivi ni kwanini mumeo afue halafu wewe umekaa tu?
Kuna kitu ambacho hakiko sawa hapo!
 
Don't take life too serious mwalimu wangu...utaishia kupata muscle pull ya dole gumba bure kama kule kwa yule mjamaa!!!

Masko pul ya nini?
 
Kuna mwanaume hawezi kufanya kitu mpaka MKE ASEME.... yan hata mdogo wake akioma ada mpaka mke amwambie mpe au usimpe. Sawa hutaki kukaa Masaki...una sababu gani za msingi za kukataa kukaa huko. Kuna wanaume wengine nakwambia hawajitambui mpaka wanakera...akisikia mke wake kagombana na wifi au ma mkwe hana muda wa kufuatilia....madam kamuona mkewe analia kilio cha uongo na ukweli anaenda kuwasha moto kwa dada zake. Kushauriana kupo lakini isiwe kushinikiza...mwanamke anayemtawala mumewe hashauri ila anashinikiza. Mguse sasa yeye kwenye mambo yake mf. biashara au kazi yake uone moto....
makubaliano ya ndani ya wanandoa huwa ni kitendawili kwa watu wa nje......
kweli kumlipia mdogo wako ada ni jambo la kulifanya bila makubaliano na mkeo? je ikifikia siku ukashindwa kutoa hiyo ada, mkeo asikusaidie? kwani kuna shida gani kulipia mdogo wako ada mpaka uamue kufanya bila kumshirikisha mkeo? na vipi ikiwa mke anaamua kumlipia mdogo wake ada bila kumshirikisha mumewe?
kuhusu kuamulia ugomvi hayo yanatokana na mtazamo wa mume ukoje..... hujawahi ona mama mkwe anajiliza bila sababu akisingizia mke kamtukana na mume akamvamia mkewe bila kumwuliza mke yalikwendaje? hapo sasa nani anamtawala? mama?
 
Back
Top Bottom