Jamii ipi inahusiaka kwenye hili...?

Jamii ipi inahusiaka kwenye hili...?

Diiiih!(,,,in my dotaz voice)
Ndo mana nilijiulizia kutawaliwa mume ni nini?
Kwa hiyo ili nisionekane namtawala mume Wang inabid nisiamue chochote kifamilia!
Santeeeee!

Sio kutoamua....hutakiwi kumshinikiza mumeo afuate matakwa yako kila wakati...mshauri mumeo. Kuna wanawake wana makusudi mumewe asipotekeleza matakwa yake hata kama ya kipuuzi ananuna mwanaume wa watu hadi unyumba ananyimwa dadeki...
 
Kuna matakwa na maamuzi!.
 
Ni kweli katika hili,ila mimi nina mawazo tofauti kidogo,ni kweli kuna baadhi ya kabira wanawake hupenda kuwa final say,hata ukuryani kwetu hii kitu ipo sana na that's why wanaume wa kikurya tunaonekana wanyanyasaji kwa namna fulani,but ni baadhi sio wote,nawatahadharisha before hujaamua kuoa mwanamke angalia background ya wazazi wake,if mama ndo msemaji na mtoa maamuzi ya familia sio baba basi possibility ya binti kurithi tabia hiyo ni 100%,mimi binafsi nilipenda kuoa mke mwenye tabia kama mama yangu mtaratibu,anaejua kuishi na watu zaidi anajua nini maana ya mume,but nikaangukia huko ambako mzazi wa kike ndo mwamuzi baba hana sauti,wife kufika kwangu akataka kuwa final say hata kunichagulia friends nikamwambia huku hatuendi hivyo tukashindwana,but kuna watu walinionya nikakaidi kama tunavyoshauriana hapa.
Ni muhimu kufahamu background ya mwenzio before hujaingia .
 
Diiiih!(,,,in my dotaz voice)
Ndo mana nilijiulizia kutawaliwa mume ni nini?
Kwa hiyo ili nisionekane namtawala mume Wang inabid nisiamue chochote kifamilia!
Santeeeee!

Ulikuwa hujui hili?

Sitaki kuamini kuwa wewe hujui nilichomaanisha!
 
Back
Top Bottom