Hujui family structure. Hujui mpangilio wa malezi. Na hayo unayoshangaa eti yanatokea wapi ni kukimbia kivuli chakoMmhhhh children needs to bond with BOTH parents,hii ya kusema mtoto wa kike na mama na mtoto wa kiume na baba, ni PROOF tosha ulilelewa kwenye isolation......
Watu ambao nyie mnatafuta walikufa na kizazi chao!..demands from the environment wants us women to get education and get jobs..sasa we are responding to the environment which means mtapata tabu sana nyie mnaodhania a woman's place is in the kitchen!....
You are happily married??? I DONT THINK SO!...usingekua unaleta kila siku mada za wanawake,lol..we can smell trouble from very far,lol....Jiangalie mwenyewe topics ngapi in total ulizozianzisha kuhusu wanawake..kisha jiulize tena 'am i happily married'?lol
Mnhhh mna amani indeed,kila siku wanawake this wanawake that humu...Mmepata Platform ya kutolea frustrations zenu kuhusu wanawake...in short hamna amani when it comes to women,to you educated ,working lady tayari ni mwiba kwako..tayari ni challnge hutaki kukabiliana nayo..lol...social skills ni BOTH parents playing their role well tangu mkiwa wadogo, na sio kwa njia uliyoiweka hapo!
MNhhhhhh sijui hata haya yametoka wapi?
Asikudanganye mtuAnayechagua hapatintabu kama unavyodhani kwake wife material wamejitenga wazi. Anayesubiri kuchaguliwa ndiye mwenye pressure. Kwa leo hii ni nadra mwanamke kisema no, isipokuwa wale waliomezwa na starehe za ujana wakidhani watadumu hivyo milele. Mwanamke wa leo analilia ndoa, na ndio kisa cha wwnaume wenye nia ovu kuwarubuni na kulimega tunda kiulaini.
Ni kweli haimaanishi hivyo, lakini kuolewa kwa mwanamke kunategemea sana mtazamo wake kwenye ndoa, ndio malezi yenyewe. Wengi wasiotambua thamani ya ndoa huishia kwenye upepo wa kisulisuli wakitaka kuolewa bila sifa
Hiyo habari ya mindset au jamii ni uongo, hayo ni maandiko kw wanaoamini. Tunaamini ni maagizo ya Mungu Mwenyezi. Ndoa ndio msingi wa kujenga familia, sio kama leo hii inavyosemwa hovyo hovyo. Na furaha ya ndoa ni kuu kuliko hivyo vyanzo unavyosema ambavyo ni vya muda tu
Hujui family structure. Hujui mpangilio wa malezi. Na hayo unayoshangaa eti yanatokea wapi ni kukimbia kivuli chako
Wanaishi pamojaHapa sikuelewi, baba na mama wote wapo vizuri kiuchumi. Wanaishi separate?
Uelewa wako ndio umefikia mwisho, we dont have to agree on everything. Wewe una malezi yako so endelea hivyo. Mambo ya kuchukia wanawake eti kwa kukataliwa san na kukejeliwa ni ramli za kichawi ambazo hazinihusu, nimevuka huo upuuzi na siwezi kujisifia mambo machafu. Hao unaowawazia hivyo ni wale walioishi maisha ya kihuni na kuhusiana na makahaba, nawezaje kujisifia ujinga huo?Ujue mwanzoni niliposoma hii mada nilidhani huyu mtoa mada ni wale wahafidhina,(wanaoamini katika utamaduni na desturi za kale)
Ok nikaheshimu mtazamo wake, nikajisemea sio mbaya mtu kuamini hivyo, anaweza akawa yupo sahihi kwa watu wengi tu, maana na mimi pia kuna mambo mengi ya kisasa huwa siyaungi mkono
Lakini nilivyozidi kumsoma na comments zake, nikaona kumbe hata mada yake haihusu conservatism, naona huyu tatizo lake ni kuwa anachukia wanawake, misogynist
Maana hao wanawake ambao anataka wanawake wote wafanane hivyo (ambao ni dependant, mission yao kwenye maisha ni kuolewa na kwenda kukaa nyumbani) bado huyu mtoa mada anawakejeli tena, yaani anataka wanawake wote wawe hivyo, ila wale wanawake ambao wapo hivyo ambao wametokana na mfumo wa maisha anaoupigia debe kwenye uzi wake, bado anawakejeli
So tatizo lake sio mfumo wa maisha tatizo lake ni wanawake, pengine alikejeliwa ama kukataliwa sana na wanawake ikamuathiri akawa anawachukia wanawake wote
TrueeUjue mwanzoni niliposoma hii mada nilidhani huyu mtoa mada ni wale wahafidhina,(wanaoamini katika utamaduni na desturi za kale)
Ok nikaheshimu mtazamo wake, nikajisemea sio mbaya mtu kuamini hivyo, anaweza akawa yupo sahihi kwa watu wengi tu, maana na mimi pia kuna mambo mengi ya kisasa huwa siyaungi mkono
Lakini nilivyozidi kumsoma na comments zake, nikaona kumbe hata mada yake haihusu conservatism, naona huyu tatizo lake ni kuwa anachukia wanawake, misogynist
Maana hao wanawake ambao anataka wanawake wote wafanane hivyo (ambao ni dependant, mission yao kwenye maisha ni kuolewa na kwenda kukaa nyumbani) bado huyu mtoa mada anawakejeli tena, yaani anataka wanawake wote wawe hivyo, ila wale wanawake ambao wapo hivyo ambao wametokana na mfumo wa maisha anaoupigia debe kwenye uzi wake, bado anawakejeli
So tatizo lake sio mfumo wa maisha tatizo lake ni wanawake, pengine alikejeliwa ama kukataliwa sana na wanawake ikamuathiri akawa anawachukia wanawake wote
Umesema kweli, ukikosea kuoa utajuta hasa kama ni ndoa ya kikristo, ndio maana Biblia inasema mwanamume AKIPATA MKE apata jambo jema na atapata kibali kwa Mungu. Sio kila mwanamke ni wa kuwa mke na sio kila mwanamume ni wa kuwa mume. Hivyo basi mke bora atatoka kwa Bwana tu, ndivyo maandiko yasemavyo, nje ya hapo ni bahati nasibu.Asikudanganye mtu
Furaha ya ndoa kipato kiwepo muweze kumudu maisha...
Na kuna kukosea kuoa na kuolewa na ndoa ni kifungo
Ukiwa umekosea utabaki huna furaha ama utaendelea na mengine ktk maisha yanayokupa raha?..
Wala hata siumizwi na mwanamke kuona mwanaume ni kitu cha ziada, kama kuna chochote kinachoniumiza basi ni aina ya jamii tunayoijenga kutokana na athari zitokanazo na maamuzi ya dizaini hiyo.Haha mbona mnaumia sana mwanamke kumuona mwanaume kama kitu cha ziada?.
Hio ndo mentality ya baadhi ya wanaume..imeanzia upande wa kiumeni...
Mwanaume anaona mwanamke ni chombo cha starehe, asiestahili kupiga hatua ktk yale anayopenda maishani na vitu vingine km hivyo ambavyo si vizuri kwa binadamu yoyote
Wewe umeelewa mada kweli wewe? Au umeisoma huku tayari una konyagi kichwani?Wewe Anza na familia yako..mke wako akae nyumbani...watoto wa kiume wasome, wakike waishie lasaba... Usilazimishe kuwa mtizamo wako Ni mzuri na kwamba unajenga familia Bora kuliko wengine...haimaanishi kwa mkewako kukaaa nyumbani watoto wako ndo watakua Bora zaidi kuliko watoto wa watu wengine. Usilazimishe mtizamo wako was ki conservative kwamba Ndo mtizamo iliobora zaidi...
Mmhhhh children needs to bond with BOTH parents,hii ya kusema mtoto wa kike na mama na mtoto wa kiume na baba, ni PROOF tosha ulilelewa kwenye isolation......
Watu ambao nyie mnatafuta walikufa na kizazi chao!..demands from the environment wants us women to get education and get jobs..sasa we are responding to the environment which means mtapata tabu sana nyie mnaodhania a woman's place is in the kitchen!....
You are happily married??? I DONT THINK SO!...usingekua unaleta kila siku mada za wanawake,lol..we can smell trouble from very far,lol....Jiangalie mwenyewe topics ngapi in total ulizozianzisha kuhusu wanawake..kisha jiulize tena 'am i happily married'?lol
Mnhhh mna amani indeed,kila siku wanawake this wanawake that humu...Mmepata Platform ya kutolea frustrations zenu kuhusu wanawake...in short hamna amani when it comes to women,to you educated ,working lady tayari ni mwiba kwako..tayari ni challnge hutaki kukabiliana nayo..lol...social skills ni BOTH parents playing their role well tangu mkiwa wadogo, na sio kwa njia uliyoiweka hapo!
MNhhhhhh sijui hata haya yametoka wapi?
topic za Lizarazu , Nyenyere , Carlos The Jackal , Jokajeusi wote hawa hawajui upendo wa mama..mnajihangaisha bure..lol. ……………..
Leo sitaki maneno mimi na mtu. Tungechukua nafasi zenu si tungeingia Leba...non
Ni sawaWala hata siumizwi na mwanamke kuona mwanaume ni kitu cha ziada, kama kuna chochote kinachoniumiza basi ni aina ya jamii tunayoijenga kutokana na athari zitokanazo na maamuzi ya dizaini hiyo.
Mimi ni sehemu ya jamii na kukemea/kusema jambo lolote ninaloona sio zuri kwenye jamii yetu ni jukumu langu. Mimi Sio leftist ambaye kila kitu kinachukulia ni liberty.
Kwa kua inatambulika ndoa nzuri ni bahati nasibu ndo mana watu wa jinsia zote me na ke wanajikita ktk kujiboresha ktk nyanja zote ama nyingi za maisha mana ndani ya nyumba hamtatizamana thUmesema kweli, ukikosea kuoa utajuta hasa kama ni ndoa ya kikristo, ndio maana Biblia inasema mwanamume AKIPATA MKE apata jambo jema na atapata kibali kwa Mungu. Sio kila mwanamke ni wa kuwa mke na sio kila mwanamume ni wa kuwa mume. Hivyo basi mke bora atatoka kwa Bwana tu, ndivyo maandiko yasemavyo, nje ya hapo ni bahati nasibu.
Pia hoja ya kipato si kweli, kwani tunaona ndoa za matajiri zikiyumba kila siku na kuwa kama jehanamu ya moto. Kupata suluhu ya hili rejea hapo juu.
Nioneshe hiyo self-contradiction ilipo kwenye maalezo yangu.Unajicontradict
Money is power
Kinachowapa jeuri wanaume si pumbu tu
Ni hio hali ya kuwa na kipato ama kupata access zaidi ya wanawake over the years
Na truth be told..imetumika kuwaonea wanawake mara nyingi..wanayotenda wanawake ni matokeo ya walichoona kwa wanaume
Alpha females ni trait tu mana Beta Males wapo pia
Kila mtu na mbuyu wake

.Hasty conclusions and generalizations...wengi wetu ni waelewa wa uhalisia ktk jamiiNioneshe hiyo self-contradiction ilipo kwenye maalezo yangu.
Money is Power ndio hatukatai, lakini je unaitumiaje hiyo power? Hii Ndio hoja kuu iliyopo mezani.
Hata hao wanaume wanaotumia pesa/mali kuwanyanyasia wanawake ni wanachangia kuiharibu jamii.
Halafu nyie wanawake hasa mliochangia huu uzi naona mna ulimbukeni sana, nyie ni ma HEDONISTS mnaoamini maisha ni hela tu na ukishakuwa nazo basi hata mambo mengine ni ya ziada tu.
Ndio maana mpaka mnaona mnaweza kuwanunua wanaume kisha mkawatumia mtakavyo.
Ni sawa
Ni kujitahidi kuangalia pande zote pia
Kwanini wanawake wana bidii sana miaka hii?..
Ni simply bcz wanawake ni viumbe wa bidii sana ama there is relief in independence flani hasa ya kiuchumi? Ama wamejifunza nini kutoka kwa wanaume?..
Mambo ni mengi mda mchache
Kama ni watu wanaoamini maisha ni hela tu ni wanaume...