Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,451
- 50,186
😆🤣Ni Abdul wa Chadema
😆🤣Ni Abdul wa Chadema
Toka lini?Kwanza binafsi namuona kama kesha left group.
Kwa ujinga wako maprofesa ndio wanajua siasa! Siasa siyo elimu ya chuo kikuu bali ni uwezo wa mtu binafsi kwenye kujenga hoja.1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee.
2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA?
3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
Ndiye mrithi wa Mwenyekiti1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee.
2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA?
3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
Uliza Adul ana kazi gani huko aliko mpaka anakwenda kuonana na wakuuYeye hagombei uenyekiti?
Kwa hiyo James alikua Abduli wa CHADEMA?Uliza Adul ana kazi gani huko aliko mpaka anakwenda kuonana na wakuu
Pole James
Wewe ungesoma saahizi ungekuwa hapa! Ratiba ysko ya maisha ingebana kiasi hata kula ungekosa nafasi.mbowe watoto hakusomesha
hata kuongea hajui kabisa
Ninavyojua kwetu ndugu zake wote ni baba zako.Utadhani Baba Mzazi