James Mbatia: Kwa sasa Rais Samia hawazi matatizo ya wananchi anawaza uchaguzi wa 2025 tu

Mda ushamtuma mkono.
Wape kingai Kada wao atawapa ushindi.
Kama jiwe alitumia police na akajipitisha kwa mbinde,wao waibe nasi Kazi yetu ni kumuomba Mungu
Magu alitumia bastola na mtutu wa binduki,nchi yote ikageuka kuwa ya kijani kibichi
 
“@ChademaTz , @ACTwazalendo , #CUF na sisi @nccrmageuzihq hebu tuondoe viburi vyetu tukae pamoja tuzungumze kuhusu nchi yetu, kwann tukose furaha kwenye nchi yetu?

Tuoneshe mshikamano wetu katika kupigania haki katika nchi yetu”. - M/kiti Taifa Ndugu #JamesMbatia
#KongamanoLaCUF

“Samia Suluhu kwasasa hawazi matatizo ya Watanzania anawaza uchaguzi uchaguzi uchaguzi tu. Ndani ya miezi 6 tukiamua kuungana nina uhakika tunaweza kupata tume huru ya uchaguzi bila kuomba omba kwa @ccm_tanzania na kufika 2025 CCM itaondoka madarakani watake wasitake.” James Mbatia.
Siasa za kiafrika ni rahisi sana kuufanya uso uwe kama wa mzee wa miaka mia wakati mtu ni kijana wa miaka 25.

Huku la wamachinga halijamalizika kaka Mbatia anae anaanzisha maneno mengine.
 
Binadamu makini yeyote huwa anajua weakness na strength zake na pia za wenzake/washindani wake. Alichosema ndiyo uhalisia bila vyama vya upinzani kuungana kudai kwa pamoja watakwama...
Na kamwe serikali/CCM haitakubali, haitaruhusu jambo hilo. Divide and rule ndio turufu yao.
 
Naona Mbatia kaona kuwa uzi wake hauwezi kupata uungwaji mkono bila kuiingiza chadema kwenye agenda zake. Na pia aliona ni muhimu kuiweka ya kwanza ili bavicha wawahi kuichungulia, japo hivyo vyama vingine kaviweka kama geresha tu ili ionekane anahitaji umoja wa vyama vyote, lkn lengo halikuwa hao. Jamaa hana ujanja kabisa wa kujisimamia mwenyewe.
Hoja yako hipi sasa
 
Nikweli lakini mbatia angejibu kwanza kabla ya uchaguzi aliitwa ikulu 2020 alivotoka aliaza kuzungumza kinyume na wezake ,leo nguvu hiyo anatoa wapi


Hapo ndipo unakuja ugumu wakushikamana
tupe hoja yako
 
Mr mama Tanzania

Ashirikiana na nani!?

Huyu aliitwaga na magu pale magogoni akanywa juice ya magogoni akapelembwa na maneno mazuri kama demu

Akatoka pale akaende mbeya akapolewa na mkuu wa mkoa hadi ofisi na escort juu kwa kazi maalumu aliyotumwa kuwashughulikia chadema kule mbeya

Inshort he was magu-ass-wiper!!

Chadema kuweni makini na watu wanaotaka umaarufu kwa mgongo wenu wengi wameishiwa kisiasa .

Na nyie mbaki relevant na mnachokiamini
 
Back
Top Bottom