James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

Mwenyekiti wa Chama NCCR Mageuzi ndugu Mhandisi James Mbatia atinga Mahakama Kuu Dar Es Salaam leo kwa ajili ya Kufungua kesi ya Kupinga Mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Uspika wa Bunge.

Pia soma

Screenshot_20220121-155207.jpg
 
Ngoma inogile. Je huyu jamaa ni wakala wa shetani au ni wakala wa malaika? Ana maslahi gani na hili jambo? Ngoja tusubiri nini kitatokea. Ila hukumu inatabirika kwa haraka
 
Mbatia angetulia tu. Ubapoteza hela na gharama.
Gharama ya upuuzi unaofanyika sasa kwa Taifa ni mkubwa sana..., Kwahio if anything kwenye Historical Books Watanzania wa Kesho kutwa watakapokuwa wanasoma / kuangalia kilichotokea atleast yeye ataonekana hakuwa upande wa hizi Tamthilia...

Anyway Mbatia binafsi ana-gain political points na kurudi kwenye public eye (though kwa muda mfupi), kama walivyo wanasiasa kusafiria matukio (ila kwa hii issue namuunga mkono) Hata kama mtu Muongo siku akiongea ukweli siwezi kubisha sababu tu ukweli huo umesemwa na mtu Muongo.
 
Huyo wakili mweusi kuliko wote naona kafurahia sana,huenda kaandaa nondo za kutosha kushinda
 
Unaweza kumfukuza mutu yenye AK47 kwa kubweka tu...inategemea unabweka kwa code gani......
 
Hizi kesi za kuamuliwa na majaji watatu ndio nilitaka nizione kama maamuzi yake pia yanaweza kuingiliwa na ikulu kama tunavyoona kule kwa Mbowe.
 
Back
Top Bottom