JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

Waliingia na mtazamo wa kutumbua majibu badala ya kuleta nafuu kwa watu sasa majipu yameisha hawajui wafanyeje
 
Amekusudia alioko front ya gazeti lakini ametumia ujanja kujiweka salama na waziri wa magazeti

Maana yule akiendika kifaru cha jeshi ana nyea debe somalia
 
Niliposikia hiyo habari wala sikushangaa kwa sababu ndio ukweli wenyewe.
Na magazeti mengine yaanze kuiga kuusema ukweli bila kumung'unya maneno.
 
Baada ya kusoma gazeti hili nikaweka nyimbo ya msaga sumu ..lowassa....lowasaa....

Wakati nashangaa shangaa naona watu wanaongezeka dukani kwangu

Wanasikiliza nyimbo kwa raha sana na kusema huyu mzee ndie mkombozi wetu

Nikawaukiza kulikoni wakasema hali imekuwa mbaya sana mitaani

Vibaka wanakwiba hadi yeboyebo chakafu na ndoo za vyoo vya uswahilini

Hawataki mchezo ukikutana nao watakurarua kinoma
Majibu yamekamuliwa lakini hali tete sana
 
Kazi ya chombo cha habari ndo hii sasa.. acha waandike kitu walichofanya research wala wasizinguliwe.. maana sio lazima kua na iman Na kila mtu
 
Tumemchoka huo ndio ukweli na kinachomfanya achokwe ni kila kitu kukifanya yeye na kukitolea matamko Bila kuangalia mezania
 
Mkuu watu wanaanza sema ili wapate watu Wa kuwasemea
Nimekulewa mkuu inaonesha watu wamechoka ila walikuwa wanasubiri wa kuanzisha ila pia hili la kuzuia maandamano litawagharimu naona wanatumia nguvu nyingi sana
 
Back
Top Bottom