badala wakapigane Ukraine wanakuja kutalii kwa The Butcher of Tanganyika!
Wamekuja kumchukua yeye si unajua ni mjane squareImekuja kumchukua nani?
Ina lengo gani??????
JWTZ jifunzeni kwa hao,nchi ina bahari lakini hata destroyer 1 hakuna ,,,kuna mitumbwi tu..