Jambo gani la aibu ulilofanya ndani ya basi?

Boya kweli ww tatizo mmelishwa matango pori mengi sana Muislam wakweli kamwe hawezi kuuwa nafsi ya mtu asiye na hatia
Kweli mkuu mungu pekee ndiye anayejua ipi mbivu na mbichi mtoto hawez mwazibu mtoto mwenzie.
 
Hahaha acha dharau unadhani simple [emoji855][emoji855][emoji855][emoji855]
Mi Mara nyingi nakaaga na wanawake wenzangu loh!
Ilaaa....
Kuna kipindi nilikaa kwenye basi na mkaka pande la mtu, nikajisemea....mhh, kumbe limeoa, kuangalia kidole lina Pete, niliiskia hasira.

Alipo niomba no nikamwambia sitowagi no kwa waume za watu[emoji23].tena hapo Niko serious[emoji16]

Siku nyingine nasafiri na fast jet, kuingia Nina vibegi vitatu vidogo, kufika kwenye siti yangu, hakuna mtu, nikiangalia wengine wamekaa na watu, nikafyonza kimoyo moyo.

Nikaanza kuweka vibegi vyangu kule juu, si kimoja kikawa kinagoma, najaribu kuongeza urefu wapi, basi mkaka katoka siti Jiran kaja kunisaidia, loh nilicheka kama fala alivyokuwa smart sasa.

Nikajisemea kimoyomoyo huyu boya lazima aniombe no, maana safari yote alikuwa ananikodolea macho.
Wakati wa kushuka, akaja akanitolea vibegi vyangu, nimkamzoom kama ana Pete hana,
Akanisaidia ki bag kimoja kufika nje nikawa nawasiliana na anaekuja kunifata, yule kaka yupo pembeni mwangu ananikodolea haniombi no ,

Yaani alikuwa domo zege, nikawaza Wenda msukuma. Mpaka natoka pale ananikodolea aongei kitu dah!

Sijui aliogopa watu wasimsikie akiomba no, jinga sana yule boya.

Kuna mida ulinambia simama nikasima, alipofika hukunambia kitu.jinga sana.
 
Mie nakumbuka juzi kati nimekata ticket yangu bus fulani maarufu sana, natokea mkoa flani kanda ya ziwa naenda Dar.

Mambo yalikua poa nimefika kwenye bus nikapanda fresh tu nikakuta mtu ambae atakua jirani yangu ni njema moja kauzu kauzu.

Nilipofika nilimsalimia hakujibu (nikaona poa tu kama tutakaushiana safari nzima lazima wote tunuke midomo) nikaendelea na mambo zangu.

Gari ilipoanza kutoka tu stand yale mataa mengi mengi mle ndani yakazimwa(ilikua kumi na mbili asubuhi) ukabaki mwanga fulani hivi hafifu
Mara ghafra jamaa akaanza kuswali(hapo mie nipo seat ya dirishani)

Kuswali wakati wa safari(kuomba dua) si kitu cha ajabu hasa kwa imani ya wenzetu, ila kwa style jamaa alivyokua anaswali mie presha ikaanza( kipindi hicho ni muda mfupi tu kulitokea shambulio la magaidi hotelini Nairobi, ilikua imepita wiki nadhani)

Style ya jamaa kuswali alikua anainua mikono juu, anazungumza maneno ambayo siyaelewi kisha anapitisha mikono machoni akiendelea kutamka maneno fulani kisha akimaliza anageuka nyuma kama vile anamuangaza mtu.

Alipiga mara ya kwanza nikaona poa.
Mara ya pili nikaona poa
Mara ya tatu nywele zikaanza kusisimka.

Akili ikaniambia hebu mtazame vizuri ile namchek jamaa ana kimfuko flani hivi kakipakata, bwana bwana bwanaaaa! Shetani mbaya sana maana baada tu ya kuutazama ule mfuko akanishawishi niamini kuna kifaa kipo ndani ya ule mfuko tena kinawaka taa nyekundu.

Baada ya vile mie natetemeka na jasho linanitoka. Nikawaza fasta ni bora nipoteze hela ya nauli kuliko uhai, nikapanga nisimame nimuite konda kwa nguvu mpaka asikie akija namwambia nimepata dharula nataka kushuka hapo hapo, lakini nikajiuliza vipi kama nikitaka kutoka jamaa ndo akaamua kukibonyeza kitufe ngoma ikalipuka?
Nikasita kufanya vile, nikachukua ticket nikaangalia namba za simu kisha nikaandika meseji hahaaaaaaaa! (Siri yangu niliandika nini) Meseji haikujibiwa hahahahaaaa!
Nikakaa kama dk tano jamaa anaendelea tu na yale mambo na kumbuka hapo ni kama dk20-30 jamaa anafanya kile kitendo.
Nikaona kama mbwai mbwai,
Nikasimama nikaita kondaaa kondaaa kondaaaa! Mpaka abiria wote wakashtuka
Konda kaja mbio mbio hajui nini kinaendelea
Alipofika nikajikuta sina cha kusema, mdomo mzito watu wote basi zima wananitazama wanasubiri kujua nini kinanisibu
Konda akaniuliza vipiii?
Mie nimetoka macho namtazama tu
Abiria wa kucheka wakacheka, wengine wakasema labda nina msongo wa mawazo, na wa kutukana wakatukana sanaaaa
Ile njemba nayo ikaniuliza(nilipopiga kelele iliacha kuswali) vipi kuna tatizo, nikakataa kwa ishara tu, konda akamaind kichizi akasepa zake.
Mie nikakaa tena kwenye siti nikajiona booooonge la mjinga, njemba nayo ikaanza kunidadisi kwa maswali mengiii kama nina matatizo mie nikakaa ila tukawa washkaji tunapiga stori mpaka tunafika Dar saa saba usiku. Ila nilijiona mjinga kichizi siku hiyo
Hii yako ndiyo imenichekesha aisee.Pole sana.
Ukaona ukiongea na konda jamaa atalipua mitambo 😀😀😀....
 
Mi Mara nyingi nakaaga na wanawake wenzangu loh!
Ilaaa....
Kuna kipindi nilikaa kwenye basi na mkaka pande la mtu, nikajisemea....mhh, kumbe limeoa, kuangalia kidole lina Pete, niliiskia hasira.

Alipo niomba no nikamwambia sitowagi no kwa waume za watu[emoji23].tena hapo Niko serious[emoji16]

Siku nyingine nasafiri na fast jet, kuingia Nina vibegi vitatu vidogo, kufika kwenye siti yangu, hakuna mtu, nikiangalia wengine wamekaa na watu, nikafyonza kimoyo moyo.

Nikaanza kuweka vibegi vyangu kule juu, si kimoja kikawa kinagoma, najaribu kuongeza urefu wapi, basi mkaka katoka siti Jiran kaja kunisaidia, loh nilicheka kama fala alivyokuwa smart sasa.

Nikajisemea kimoyomoyo huyu boya lazima aniombe no, maana safari yote alikuwa ananikodolea macho.
Wakati wa kushuka, akaja akanitolea vibegi vyangu, nimkamzoom kama ana Pete hana,
Akanisaidia ki bag kimoja kufika nje nikawa nawasiliana na anaekuja kunifata, yule kaka yupo pembeni mwangu ananikodolea haniombi no ,

Yaani alikuwa domo zege, nikawaza Wenda msukuma. Mpaka natoka pale ananikodolea aongei kitu dah!

Sijui aliogopa watu wasimsikie akiomba no, jinga sana yule boya.

Kuna mida ulinambia simama nikasima, alipofika hukunambia kitu.jinga sana.
Okay..kumbe these things happens
 
Mie niliabika, nilikuwa natoka Moshi kwenda Dar, kufika Mombo mkoa wa Tanga kuna hoteli inaitwa Liverpool nikala chips (nadhani zilikuwa kiporo) weeeee, tumbo la kuharisha lilinivuruga vibaya sana, ilibidi nimdanganye Konda na Dreva kuwa NIMEINGIA KWENYE SIKU ZANGU GHAFLA (MP) hivyo wasimame kidogo niende porini nikajisetiri, kumbe nilikuwa naenda kuharisha!!!!
Mshana Jr unapajua Mombo? hahahaahahahhahah
Ute mwathu
 
Mi Mara nyingi nakaaga na wanawake wenzangu loh!
Ilaaa....
Kuna kipindi nilikaa kwenye basi na mkaka pande la mtu, nikajisemea....mhh, kumbe limeoa, kuangalia kidole lina Pete, niliiskia hasira.

Alipo niomba no nikamwambia sitowagi no kwa waume za watu[emoji23].tena hapo Niko serious[emoji16]

Siku nyingine nasafiri na fast jet, kuingia Nina vibegi vitatu vidogo, kufika kwenye siti yangu, hakuna mtu, nikiangalia wengine wamekaa na watu, nikafyonza kimoyo moyo.

Nikaanza kuweka vibegi vyangu kule juu, si kimoja kikawa kinagoma, najaribu kuongeza urefu wapi, basi mkaka katoka siti Jiran kaja kunisaidia, loh nilicheka kama fala alivyokuwa smart sasa.

Nikajisemea kimoyomoyo huyu boya lazima aniombe no, maana safari yote alikuwa ananikodolea macho.
Wakati wa kushuka, akaja akanitolea vibegi vyangu, nimkamzoom kama ana Pete hana,
Akanisaidia ki bag kimoja kufika nje nikawa nawasiliana na anaekuja kunifata, yule kaka yupo pembeni mwangu ananikodolea haniombi no ,

Yaani alikuwa domo zege, nikawaza Wenda msukuma. Mpaka natoka pale ananikodolea aongei kitu dah!

Sijui aliogopa watu wasimsikie akiomba no, jinga sana yule boya.

Kuna mida ulinambia simama nikasima, alipofika hukunambia kitu.jinga sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie huwa napenda nikae na wababa au wamama watu wazima. Full story. Au nikae na mama mwenye mtoto daah safari inakuwa muruaaaa
 
Mi Mara nyingi nakaaga na wanawake wenzangu loh!
Ilaaa....
Kuna kipindi nilikaa kwenye basi na mkaka pande la mtu, nikajisemea....mhh, kumbe limeoa, kuangalia kidole lina Pete, niliiskia hasira.

Alipo niomba no nikamwambia sitowagi no kwa waume za watu😂.tena hapo Niko serious😁

Siku nyingine nasafiri na fast jet, kuingia Nina vibegi vitatu vidogo, kufika kwenye siti yangu, hakuna mtu, nikiangalia wengine wamekaa na watu, nikafyonza kimoyo moyo.

Nikaanza kuweka vibegi vyangu kule juu, si kimoja kikawa kinagoma, najaribu kuongeza urefu wapi, basi mkaka katoka siti Jiran kaja kunisaidia, loh nilicheka kama fala alivyokuwa smart sasa.

Nikajisemea kimoyomoyo huyu boya lazima aniombe no, maana safari yote alikuwa ananikodolea macho.
Wakati wa kushuka, akaja akanitolea vibegi vyangu, nimkamzoom kama ana Pete hana,
Akanisaidia ki bag kimoja kufika nje nikawa nawasiliana na anaekuja kunifata, yule kaka yupo pembeni mwangu ananikodolea haniombi no ,

Yaani alikuwa domo zege, nikawaza Wenda msukuma. Mpaka natoka pale ananikodolea aongei kitu dah!

Sijui aliogopa watu wasimsikie akiomba no, jinga sana yule boya.

Kuna mida ulinambia simama nikasima, alipofika hukunambia kitu.jinga sana.
pole mkuu! next time ukitaka kusafiri nicheck tusafiri wote, you never know what might happen!
 
nikiwa kidato cha pili nilikua nimerogwa vibaya mno yani kama taahira.Basi mzee wangu akafanya mpango akatafuta gari serikalini linaloelekea wilaya fulani tukapanda mimi na mama kuelekea kwa mtaalamu.Kufika kwenye gari nikaanza koroma usingizi wa kurogwa ule yani sio wa ki bin adamu.Mara paap nikaanza toa udenda mzito kwenye koti la boss sit ya nyuma huku nikimuegemea..Maza akawa ananichora tu,hahah yani boss akinisukuma bado narudisha shingo kwake afu kibaya zaidi nikaanza kujamba..bwana we,sidhani kama kuna harufu kali ya kujamba ka ile yangu i swear mana nilirogwa,yani ilikua inanuka ka maiti mbovu.Bas dereva akasusha vioo na kuwasha ac wapii,gar nzima ilkua kimya wasiamini hicho kinachonuka ni binadamu au mzoga..yani hadi tunashuka ilikua ni mateso kwao hasa fedhea kwa mama..dah,hadi leo hii siwez sahau na mama ananikumbisha kila mara naishia kucheka tu na nipo chuo mwaka wa mwisho nachukua kidergree changu..Mungu ni mwema
 
Hili cheko nililocheka nimemshirikisha na jirani hahahahahahaha
 
Back
Top Bottom