Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,463
Wakuu habari za weekend..
Leo ningependa tujuzane matukio ya aibu ambayo tumewahi kuyafanya tukiwa safarini ndani ya basi
Nikianza na mii mwenyewe nakumbuka ilikua safari ya DSM to Mafinga
Nilijipatia tiketi yangu ya basi la Nyagawa na halikuwa ma ac so madirisha yapo wazi muda mwingi
Niikuwa naumwa mafua leso ilikuwa inaniokoa kweli,pembeni yangu alikaa jamaa mmoja kavalia suti safi na ilionekana kama alienda kusalimia ndugu coz alikuwa na heshima na adabu kweli kwa kila mtu
Tukafka Kitonga comfort kwa ajili ya lunch nikaona njaa hii kali inahitaji mlo kamili nkanunua peps kubwa take away na wali nikaongezea na nyama choma
Baada ya mlo safari ikaendelea nakumbuka jamaa alikula mkate na juice yake tu,mbele ya safari nakuta tumbo limejaa gesi hatari nikajibaaana hadi tumbo linauma
Nikasema hebu niachie nione kama kinanuka maana sometime hvinukagi hivi[emoji16]
Nikapanua mpua huku najiinamisha kijanja nikaona harufu hakuna kabisa nikaachia tena natena na tenaa na teeeena nashangaa waliokaa jirani wananiangalia tu kama wamekabwa koo
Tatizo kila nikijamba na kunusa sisikii harufu kabisa abiria kibao walimind mi ndo hata sijui kitu bana kufika zangu Mafinga nachukua begi langu kushuka
Watu wote mimacho kwangu huku wakinong'ona mkakagua zipu iko sawa sasa hawa vepe tena?
Nikashuka zangu bana gari ikaendelea na safari ila kitendo cha watu kuniangalia kwa hasira kikaniachia maswali sana.
Ile nakaa kupumzika kidogo banda la abiria ndio nakumbuka kuwa naumwa mafua na sisikii harufu yoyote ile nilikosa raha sana..