Jambo gani la aibu ulilofanya ndani ya basi?

Jambo gani la aibu ulilofanya ndani ya basi?

Poleni sana .. Mie nshazoea mara nyingi safari ndefu nabahatika kukaa seat moja na walembo na huwa safari naiona fupi maana nafaidi denda njia nzima mara mlembo anasinzia na kunilalia wakati mwingine kama ni seat ya nyuma mlembo anaweza kunilalia na kunyonya mboo huku mie nikiingiza mkono kupima oil.
Nyie ndio mabaharia sasa, yani unakutana na demu safarini unamla denda na ana lamba koni!..
Huofii anaweza kuwa na magonjwa akaharibu maliasili yako!?..
 
Yaani alikuwa domo zege, nikawaza Wenda msukuma. Mpaka natoka pale ananikodolea aongei kitu dah!
Sijui aliogopa watu wasimsikie akiomba no, jinga sana yule boya.
Kuna mida ulinambia simama nikasima, alipofika hukunambia kitu.jinga sana.
😂😂😂 ungeanza muomba kumrahisishia mambo!..
Ila wasukuma hatuna aibu huyo mnyaki!😀..
 
Mimi kipindi hicho bado kijana nilipanda bus la njioni hivyo seat za nyuma ndio zilikua wazi nikakaa nyuma ya mdada mmoja mweupe mwenye shape matata, alikua akijitafunia biscuit yake ghafla macho yetu yalikutana kabla sijamsalimu akanisalimu yeye na kunipa kipande cha biscuit nilipokea tukaanza kupiga stori, stori zilikolea akahamia nyuma kwenye seat ya pembeni stori zikakolea ghafla alinikwida akaanza kunipiga denda, alivyomkali nilishindwa kumzuia ila watu walituangalia vibaya sana ila machizi wangu walinikubali sana kuwa nimeopoa mtoto mkali ndani ya masaa matatu...Hii kitu japo ni ushujuaa ila ile gari ilikua na watu wazima wengi wakaanza kutusema jinsi vijana wa sasa hatuna soni wala mshipa wa adabu.............
 
Kipindi nasoma likizo flani narudi home nikapanda na boya flani tulikuwa hatupatani, kuna mama ndani ya bus akaibiwa simu wakati wa kushuka lunch pale Aljazeera ruaha, halafu yule boya akasema hebu wanisearch mie!..
Kwakweli mpaka raia kuelewa kuwa yule mjinga sipatani nae ilikuwa si kazi ndogo!. Nashukuru nilikaa na mzee flani nilimsaidia kununua lunch yake ndio akawa alibi yangu!.
Ila niliaibika, uoga wa mob justice si mchezo!.
Aisee pole sana
 
Mkosi wako kama wangu, nakaa sana na wazee safarini sijawahi kaa na mrembo seat moja toka nazaliwa!..
Nishajifunza kupiga story wazipendazo!.
Mkuu,

Ukienda ubungo kukata tiketi mpe yule dada au kaka ela zaidi akuwekee mdada pembeni yako.

Mkosi unakuisha [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu,
Ukienda ubungo kukata tiketi mpe yule dada au kaka ela zaidi akuwekee mdada pembeni yako.
Mkosi unakuisha [emoji3][emoji3][emoji3]
Huwa sipendi kata tiketi naamkia kwenye bus nitakalopata napanda!..
 
Mi Mara nyingi nakaaga na wanawake wenzangu loh!
Ilaaa....
Kuna kipindi nilikaa kwenye basi na mkaka pande la mtu, nikajisemea....mhh, kumbe limeoa, kuangalia kidole lina Pete, niliiskia hasira.

Alipo niomba no nikamwambia sitowagi no kwa waume za watu[emoji23].tena hapo Niko serious[emoji16]

Siku nyingine nasafiri na fast jet, kuingia Nina vibegi vitatu vidogo, kufika kwenye siti yangu, hakuna mtu, nikiangalia wengine wamekaa na watu, nikafyonza kimoyo moyo.

Nikaanza kuweka vibegi vyangu kule juu, si kimoja kikawa kinagoma, najaribu kuongeza urefu wapi, basi mkaka katoka siti Jiran kaja kunisaidia, loh nilicheka kama fala alivyokuwa smart sasa.

Nikajisemea kimoyomoyo huyu boya lazima aniombe no, maana safari yote alikuwa ananikodolea macho.
Wakati wa kushuka, akaja akanitolea vibegi vyangu, nimkamzoom kama ana Pete hana,
Akanisaidia ki bag kimoja kufika nje nikawa nawasiliana na anaekuja kunifata, yule kaka yupo pembeni mwangu ananikodolea haniombi no ,

Yaani alikuwa domo zege, nikawaza Wenda msukuma. Mpaka natoka pale ananikodolea aongei kitu dah!

Sijui aliogopa watu wasimsikie akiomba no, jinga sana yule boya.

Kuna mida ulinambia simama nikasima, alipofika hukunambia kitu.jinga sana.
daaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu habari za weekend..

Leo ningependa tujuzane matukio ya aibu ambayo tumewahi kuyafanya tukiwa safarini ndani ya basi

Nikianza na mii mwenyewe nakumbuka ilikua safari ya DSM to Mafinga

Nilijipatia tiketi yangu ya basi la Nyagawa na halikuwa ma ac so madirisha yapo wazi muda mwingi

Niikuwa naumwa mafua leso ilikuwa inaniokoa kweli,pembeni yangu alikaa jamaa mmoja kavalia suti safi na ilionekana kama alienda kusalimia ndugu coz alikuwa na heshima na adabu kweli kwa kila mtu

Tukafka Kitonga comfort kwa ajili ya lunch nikaona njaa hii kali inahitaji mlo kamili nkanunua peps kubwa take away na wali nikaongezea na nyama choma

Baada ya mlo safari ikaendelea nakumbuka jamaa alikula mkate na juice yake tu,mbele ya safari nakuta tumbo limejaa gesi hatari nikajibaaana hadi tumbo linauma

Nikasema hebu niachie nione kama kinanuka maana sometime hvinukagi hivi[emoji16]

Nikapanua mpua huku najiinamisha kijanja nikaona harufu hakuna kabisa nikaachia tena natena na tenaa na teeeena nashangaa waliokaa jirani wananiangalia tu kama wamekabwa koo

Tatizo kila nikijamba na kunusa sisikii harufu kabisa abiria kibao walimind mi ndo hata sijui kitu bana kufika zangu Mafinga nachukua begi langu kushuka


Watu wote mimacho kwangu huku wakinong'ona mkakagua zipu iko sawa sasa hawa vepe tena?

Nikashuka zangu bana gari ikaendelea na safari ila kitendo cha watu kuniangalia kwa hasira kikaniachia maswali sana.

Ile nakaa kupumzika kidogo banda la abiria ndio nakumbuka kuwa naumwa mafua na sisikii harufu yoyote ile nilikosa raha sana..
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji1830][emoji1830][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Kipindi nasoma likizo flani narudi home nikapanda na boya flani tulikuwa hatupatani, kuna mama ndani ya bus akaibiwa simu wakati wa kushuka lunch pale Aljazeera ruaha, halafu yule boya akasema hebu wanisearch mie!..
Kwakweli mpaka raia kuelewa kuwa yule mjinga sipatani nae ilikuwa si kazi ndogo!. Nashukuru nilikaa na mzee flani nilimsaidia kununua lunch yake ndio akawa alibi yangu!.
Ila niliaibika, uoga wa mob justice si mchezo!.
Pole Sana mkuu
 
C lazma mpande pa1... Juzi nmeoandia kibaha nkakutana na demu anaenda kigoma na mm naenda kahama ila tulifka ucku Sana tukalala garin.....KILICHOTOKEA HUO USIKU NI LAANA
Ungetujuza kwanza umepanda nae mnajuana au? Na ilikuwaje mkafikia hukoo
 
Back
Top Bottom