Hahahahaha mkuu nmecheka sanaNikisafiri kutoka Dar-Kigoma,ile tunafika manyoni gari ikakatika bolt(kitu kama hicho)!
Basi mimi na jamaa yangu mmoja tukajisogeza bar ya pembeni kulamba mvinyo maana tuliambiwa ingechukua kama masaa mawili!Baada ya kama 3 hrs,tukaitwa kuwa gari imetengemaa!Daah,kwenda kama saa 1,kibofu kinauma mpaka basi!Nikawa namtegea mwenzangu maana tulikunywa wote bia,kila nikimsikilizia labda na yeye amebanwa ataamka kwenda kuomba,ndio kwanza jamaa naona kasinzia!Ikabidi niende kuomba,dah dereva alitoa maneno makali sana!Ila mbele kidogo akasimama,basi nikashuka kukojoa na lile jamaa langu nalo hili hapa!Tukachimba dawa halafu tukarudi na kuendelea na safari!
Ngoma imetembea kama masaa mawili hivi,kibofu kikaitika tena!Nikasema hapa sasa huu msaala,naanzaje kwenda kuomba tena!Nilikuwa na kikoi cha kimasai,basi nikajifunika nikaachia mzigo kwenye chupa kisha nokarusha kupitia dirishani!
Kuna mmama alinikata hilo jicho mpaka ikabidi nivae miwani na nikapiga usingizi!
Usiombe ubanwe na mkono wa pombe,ni balaa!
Sitarudia kunywa bia nikiwa safarini!hah
Hahahahaha mkuu nmecheka sana
daaaaah kudadek [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] u made my night mkuuMie nakumbuka juzi kati nimekata ticket yangu bus fulani maarufu sana, natokea mkoa flani kanda ya ziwa naenda Dar.
Mambo yalikua poa nimefika kwenye bus nikapanda fresh tu nikakuta mtu ambae atakua jirani yangu ni njema moja kauzu kauzu.
Nilipofika nilimsalimia hakujibu (nikaona poa tu kama tutakaushiana safari nzima lazima wote tunuke midomo) nikaendelea na mambo zangu.
Gari ilipoanza kutoka tu stand yale mataa mengi mengi mle ndani yakazimwa(ilikua kumi na mbili asubuhi) ukabaki mwanga fulani hivi hafifu
Mara ghafra jamaa akaanza kuswali(hapo mie nipo seat ya dirishani)
Kuswali wakati wa safari(kuomba dua) si kitu cha ajabu hasa kwa imani ya wenzetu, ila kwa style jamaa alivyokua anaswali mie presha ikaanza( kipindi hicho ni muda mfupi tu kulitokea shambulio la magaidi hotelini Nairobi, ilikua imepita wiki nadhani)
Style ya jamaa kuswali alikua anainua mikono juu, anazungumza maneno ambayo siyaelewi kisha anapitisha mikono machoni akiendelea kutamka maneno fulani kisha akimaliza anageuka nyuma kama vile anamuangaza mtu.
Alipiga mara ya kwanza nikaona poa.
Mara ya pili nikaona poa
Mara ya tatu nywele zikaanza kusisimka.
Akili ikaniambia hebu mtazame vizuri ile namchek jamaa ana kimfuko flani hivi kakipakata, bwana bwana bwanaaaa! Shetani mbaya sana maana baada tu ya kuutazama ule mfuko akanishawishi niamini kuna kifaa kipo ndani ya ule mfuko tena kinawaka taa nyekundu.
Baada ya vile mie natetemeka na jasho linanitoka. Nikawaza fasta ni bora nipoteze hela ya nauli kuliko uhai, nikapanga nisimame nimuite konda kwa nguvu mpaka asikie akija namwambia nimepata dharula nataka kushuka hapo hapo, lakini nikajiuliza vipi kama nikitaka kutoka jamaa ndo akaamua kukibonyeza kitufe ngoma ikalipuka?
Nikasita kufanya vile, nikachukua ticket nikaangalia namba za simu kisha nikaandika meseji hahaaaaaaaa! (Siri yangu niliandika nini) Meseji haikujibiwa hahahahaaaa!
Nikakaa kama dk tano jamaa anaendelea tu na yale mambo na kumbuka hapo ni kama dk20-30 jamaa anafanya kile kitendo.
Nikaona kama mbwai mbwai,
Nikasimama nikaita kondaaa kondaaa kondaaaa! Mpaka abiria wote wakashtuka
Konda kaja mbio mbio hajui nini kinaendelea
Alipofika nikajikuta sina cha kusema, mdomo mzito watu wote basi zima wananitazama wanasubiri kujua nini kinanisibu
Konda akaniuliza vipiii?
Mie nimetoka macho namtazama tu
Abiria wa kucheka wakacheka, wengine wakasema labda nina msongo wa mawazo, na wa kutukana wakatukana sanaaaa
Ile njemba nayo ikaniuliza(nilipopiga kelele iliacha kuswali) vipi kuna tatizo, nikakataa kwa ishara tu, konda akamaind kichizi akasepa zake.
Mie nikakaa tena kwenye siti nikajiona booooonge la mjinga, njemba nayo ikaanza kunidadisi kwa maswali mengiii kama nina matatizo mie nikakaa ila tukawa washkaji tunapiga stori mpaka tunafika Dar saa saba usiku. Ila nilijiona mjinga kichizi siku hiyo
Hahahahahahahahaha!!!!!Mie nakumbuka juzi kati nimekata ticket yangu bus fulani maarufu sana, natokea mkoa flani kanda ya ziwa naenda Dar.

Kudadeki we jamaašMie nakumbuka juzi kati nimekata ticket yangu bus fulani maarufu sana, natokea mkoa flani kanda ya ziwa naenda Dar.

daaaaah kudadek [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] u made my night mkuu
Mkuu hata mm nimechekaaa dahh dunia ina mamboHa ha ha umefanya nicheke kwa sauti mpaka watu wanashangaa
Boya kweli ww tatizo mmelishwa matango pori mengi sana Muislam wakweli kamwe hawezi kuuwa nafsi ya mtu asiye na hatiaMie nakumbuka juzi kati nimekata ticket yangu bus fulani maarufu sana, natokea mkoa flani kanda ya ziwa naenda Dar.
Mambo yalikua poa nimefika kwenye bus nikapanda fresh tu nikakuta mtu ambae atakua jirani yangu ni njema moja kauzu kauzu.
Nilipofika nilimsalimia hakujibu (nikaona poa tu kama tutakaushiana safari nzima lazima wote tunuke midomo) nikaendelea na mambo zangu.
Gari ilipoanza kutoka tu stand yale mataa mengi mengi mle ndani yakazimwa(ilikua kumi na mbili asubuhi) ukabaki mwanga fulani hivi hafifu
Mara ghafra jamaa akaanza kuswali(hapo mie nipo seat ya dirishani)
Kuswali wakati wa safari(kuomba dua) si kitu cha ajabu hasa kwa imani ya wenzetu, ila kwa style jamaa alivyokua anaswali mie presha ikaanza( kipindi hicho ni muda mfupi tu kulitokea shambulio la magaidi hotelini Nairobi, ilikua imepita wiki nadhani)
Style ya jamaa kuswali alikua anainua mikono juu, anazungumza maneno ambayo siyaelewi kisha anapitisha mikono machoni akiendelea kutamka maneno fulani kisha akimaliza anageuka nyuma kama vile anamuangaza mtu.
Alipiga mara ya kwanza nikaona poa.
Mara ya pili nikaona poa
Mara ya tatu nywele zikaanza kusisimka.
Akili ikaniambia hebu mtazame vizuri ile namchek jamaa ana kimfuko flani hivi kakipakata, bwana bwana bwanaaaa! Shetani mbaya sana maana baada tu ya kuutazama ule mfuko akanishawishi niamini kuna kifaa kipo ndani ya ule mfuko tena kinawaka taa nyekundu.
Baada ya vile mie natetemeka na jasho linanitoka. Nikawaza fasta ni bora nipoteze hela ya nauli kuliko uhai, nikapanga nisimame nimuite konda kwa nguvu mpaka asikie akija namwambia nimepata dharula nataka kushuka hapo hapo, lakini nikajiuliza vipi kama nikitaka kutoka jamaa ndo akaamua kukibonyeza kitufe ngoma ikalipuka?
Nikasita kufanya vile, nikachukua ticket nikaangalia namba za simu kisha nikaandika meseji hahaaaaaaaa! (Siri yangu niliandika nini) Meseji haikujibiwa hahahahaaaa!
Nikakaa kama dk tano jamaa anaendelea tu na yale mambo na kumbuka hapo ni kama dk20-30 jamaa anafanya kile kitendo.
Nikaona kama mbwai mbwai,
Nikasimama nikaita kondaaa kondaaa kondaaaa! Mpaka abiria wote wakashtuka
Konda kaja mbio mbio hajui nini kinaendelea
Alipofika nikajikuta sina cha kusema, mdomo mzito watu wote basi zima wananitazama wanasubiri kujua nini kinanisibu
Konda akaniuliza vipiii?
Mie nimetoka macho namtazama tu
Abiria wa kucheka wakacheka, wengine wakasema labda nina msongo wa mawazo, na wa kutukana wakatukana sanaaaa
Ile njemba nayo ikaniuliza(nilipopiga kelele iliacha kuswali) vipi kuna tatizo, nikakataa kwa ishara tu, konda akamaind kichizi akasepa zake.
Mie nikakaa tena kwenye siti nikajiona booooonge la mjinga, njemba nayo ikaanza kunidadisi kwa maswali mengiii kama nina matatizo mie nikakaa ila tukawa washkaji tunapiga stori mpaka tunafika Dar saa saba usiku. Ila nilijiona mjinga kichizi siku hiyo
Poleni sana .. Mie nshazoea mara nyingi safari ndefu nabahatika kukaa seat moja na walembo na huwa safari naiona fupi maana nafaidi denda njia nzima mara mlembo anasinzia na kunilalia wakati mwingine kama ni seat ya nyuma mlembo anaweza kunilalia na kunyonya mboo huku mie nikiingiza mkono kupima oil.Mkosi wako kama wangu, nakaa sana na wazee safarini sijawahi kaa na mrembo seat moja toka nazaliwa!..
Nishajifunza kupiga story wazipendazo!.
Raia uwa hawachelewi kufanya yao,ukizubaa tu utajikuta upo ahera unakata mitaaKipindi nasoma likizo flani narudi home nikapanda na boya flani tulikuwa hatupatani, kuna mama ndani ya bus akaibiwa simu wakati wa kushuka lunch pale Aljazeera ruaha, halafu yule boya akasema hebu wanisearch mie!..
Kwakweli mpaka raia kuelewa kuwa yule mjinga sipatani nae ilikuwa si kazi ndogo!. Nashukuru nilikaa na mzee flani nilimsaidia kununua lunch yake ndio akawa alibi yangu!.
Ila niliaibika, uoga wa mob justice si mchezo!.
Mkosi wako kama wangu, nakaa sana na wazee safarini sijawahi kaa na mrembo seat moja toka nazaliwa!..
Nishajifunza kupiga story wazipendazo!.
Ha ha......wapi LĆØ Generali? Mastory yanakosekana kwa jamvi mkuu!!Itakuwa ulijinyea mkuu
Mi Mara nyingi nakaaga na wanawake wenzangu loh!
Ilaaa....
Kuna kipindi nilikaa kwenye basi na mkaka pande la mtu, nikajisemea....mhh, kumbe limeoa, kuangalia kidole lina Pete, niliiskia hasira.
Alipo niomba no nikamwambia sitowagi no kwa waume za watu[emoji23].tena hapo Niko serious[emoji16]
Siku nyingine nasafiri na fast jet, kuingia Nina vibegi vitatu vidogo, kufika kwenye siti yangu, hakuna mtu, nikiangalia wengine wamekaa na watu, nikafyonza kimoyo moyo.
Nikaanza kuweka vibegi vyangu kule juu, si kimoja kikawa kinagoma, najaribu kuongeza urefu wapi, basi mkaka katoka siti Jiran kaja kunisaidia, loh nilicheka kama fala alivyokuwa smart sasa.
Nikajisemea kimoyomoyo huyu boya lazima aniombe no, maana safari yote alikuwa ananikodolea macho.
Wakati wa kushuka, akaja akanitolea vibegi vyangu, nimkamzoom kama ana Pete hana,
Akanisaidia ki bag kimoja kufika nje nikawa nawasiliana na anaekuja kunifata, yule kaka yupo pembeni mwangu ananikodolea haniombi no ,
Yaani alikuwa domo zege, nikawaza Wenda msukuma. Mpaka natoka pale ananikodolea aongei kitu dah!
Sijui aliogopa watu wasimsikie akiomba no, jinga sana yule boya.
Kuna mida ulinambia simama nikasima, alipofika hukunambia kitu.jinga sana.
Duh..kumbe huwa mnatamanigi kuombwa na no kumbe...Mi Mara nyingi nakaaga na wanawake wenzangu loh!
Ilaaa....
Kuna kipindi nilikaa kwenye basi na mkaka pande la mtu, nikajisemea....mhh, kumbe limeoa, kuangalia kidole lina Pete, niliiskia hasira.
Alipo niomba no nikamwambia sitowagi no kwa waume za watuš.tena hapo Niko seriousš
Siku nyingine nasafiri na fast jet, kuingia Nina vibegi vitatu vidogo, kufika kwenye siti yangu, hakuna mtu, nikiangalia wengine wamekaa na watu, nikafyonza kimoyo moyo.
Nikaanza kuweka vibegi vyangu kule juu, si kimoja kikawa kinagoma, najaribu kuongeza urefu wapi, basi mkaka katoka siti Jiran kaja kunisaidia, loh nilicheka kama fala alivyokuwa smart sasa.
Nikajisemea kimoyomoyo huyu boya lazima aniombe no, maana safari yote alikuwa ananikodolea macho.
Wakati wa kushuka, akaja akanitolea vibegi vyangu, nimkamzoom kama ana Pete hana,
Akanisaidia ki bag kimoja kufika nje nikawa nawasiliana na anaekuja kunifata, yule kaka yupo pembeni mwangu ananikodolea haniombi no ,
Yaani alikuwa domo zege, nikawaza Wenda msukuma. Mpaka natoka pale ananikodolea aongei kitu dah!
Sijui aliogopa watu wasimsikie akiomba no, jinga sana yule boya.
Kuna mida ulinambia simama nikasima, alipofika hukunambia kitu.jinga sana.
Sawa..ila hii itakuwa chai ya maziwa ya mtindi aiseePoleni sana .. Mie nshazoea mara nyingi safari ndefu nabahatika kukaa seat moja na walembo na huwa safari naiona fupi maana nafaidi denda njia nzima mara mlembo anasinzia na kunilalia wakati mwingine kama ni seat ya nyuma mlembo anaweza kunilalia na kunyonya mboo huku mie nikiingiza mkono kupima oil.
Yaani hakunaga mdada mgumu safarini.
Ila ukitaka kuiona safari chungu kaa na mzee anayesinzia na kutoa udenda huku anakuegemea kifuani
Nitajuaje huyu ni wa ukweli na mwingine sio ?Boya kweli ww tatizo mmelishwa matango pori mengi sana Muislam wakweli kamwe hawezi kuuwa nafsi ya mtu asiye na hatia