Kweli ule msemo kuwa ukimchekea sana mbwa atakufuata msikitini nimeuelewa.
Nakumbuka mwaka Jana au juzi kiongozi wetu wa nchi alielezea suala la Tigo fiesta kwa wananchi kwamba ni ubunifu mzuri wa ajira na akawasifu sana Clouds.
Ilifika hata akatangaza kuwaongezea muda wa onyesho. Jee wakati huo hakukuwa na wagonjwa?
Leo hii RC wa Dar kwanza kawatia moyo CMG na Tigo kuwa hii itakuwa kubwa kuliko na watu waka invest vya kutosha fedha nyingi, lakini Makonda na uongozi wake wa Dar walikuwa wanajua nini wamepanga. 24 hours before event wakawaonyesha kuwa wao ndio wababe wa Jiji hata kama Rais aliwahi kutamka kuwa shughuli hizo ni nzuri na halali, nani kama Paul Makonda Dar es salaam?
Mheshimiwa Rais, hizi aibu unazopewa na huyu kijana wako utazifumbia macho hadi lini? Visasi vyake na hao Clouds sii ulishawashikisha mikono Tanga mbona sasa anatumia ofisi kuendeleza ubabe?
Kumbuka huo msemo wa waswahili kuhusu muislamu na mbwa wake!
Mkuu inamaana wewe huoni uzalendo na uchapakazi wa huyu mtu, amaaa kweli mmbongo hana shukran,.Mganga wako amekula kuku wa bure...bora ungeenda kutoa sadaka kanisani/msikitini
Unamaanisha wanaandaa mazishi ya "tamasha la fiesta" rasmi?Namchukia bashite but kwa hili bado siamini Kama anauwezo na uthubutu kufanya Jambo kubwa Kama hilo.
Naimani Kuna Jambo limejificha ambalo hatulijui maana hata clous wenyewe hawaeleweki si kawaida yao kuwa wapole namna hiyo na hawajawi kuwa hivyo.
Ngoja nijipe mda kwani ukweli utajulikana
Acha utani kuamberrutty si ni ruksaWaislam tunamshukuru Allah, maasi yamepigwa break.
Ninyi ni taifa la wajinga buruzweni tuuuKweli ule msemo kuwa ukimchekea sana mbwa atakufuata msikitini nimeuelewa.
Nakumbuka mwaka Jana au juzi kiongozi wetu wa nchi alielezea suala la Tigo fiesta kwa wananchi kwamba ni ubunifu mzuri wa ajira na akawasifu sana Clouds.
Ilifika hata akatangaza kuwaongezea muda wa onyesho. Jee wakati huo hakukuwa na wagonjwa?
Leo hii RC wa Dar kwanza kawatia moyo CMG na Tigo kuwa hii itakuwa kubwa kuliko na watu waka invest vya kutosha fedha nyingi, lakini Makonda na uongozi wake wa Dar walikuwa wanajua nini wamepanga. 24 hours before event wakawaonyesha kuwa wao ndio wababe wa Jiji hata kama Rais aliwahi kutamka kuwa shughuli hizo ni nzuri na halali, nani kama Paul Makonda Dar es salaam?
Mheshimiwa Rais, hizi aibu unazopewa na huyu kijana wako utazifumbia macho hadi lini? Visasi vyake na hao Clouds sii ulishawashikisha mikono Tanga mbona sasa anatumia ofisi kuendeleza ubabe?
Kumbuka huo msemo wa waswahili kuhusu muislamu na mbwa wake!
Hata shetani anawafuasi wake,kwahiyo sis hatukushangai kuamini hiyo kenge .huo ni uhuru wa imani yako,tangu lini kenge akapewa mamlaka ya kimkoa??!Kijana shupavu na mchapakazi, hakika dsm tuna cha kujivunia kuwa na jembe kama hili, mikoa mingine wanatuonea wivu wanatamani angekuwa mkuu wao wa mkoa, hyu mtu ata urais anatufaa sana, he is a visionary leader. Chapa kazi mkuu.
Naomba sanaa ije kuwa hivyooo...!Bashite atakuja kuwa na mwisho mbaya sana...
Mkuu Mungu akupe nn?Hata shetani anawafuasi wake,kwahiyo sis hatukushangai kuamini hiyo kenge .huo ni uhuru wa imani yako,tangu lini kenge akapewa mamlaka ya kimkoa??!
Ina maana hayo maasi hutokea siku ya fiesta tu?Waislam tunamshukuru Allah, maasi yamepigwa break.
Muislam anaefata Uislam hawezi kufanya upuuzi huo.Waislam wangapi? Maana majority ya wasanii ni hao
Your grandpa must be bonkers.Poor Africans..It is fascinating that countries that owned their culture and practiced their religion and culture are doing relatively better than Africa. A good example is China, Japan and the rest of South Asia. While Asia and Africa were both colonized, Asia retained a whole lot of its culture, Africa did not....Grandpa told me