I'm the fastest sperm comredy, i have brilliant brain, I know what I'm talking.Waste of sperm for sure..
[emoji2] [emoji2] kwa hyo mkuu umeona maono kama yohana.Jana nimekaa kibarazani kwangu nikiwa nimevaa msuli napiga gahawa.Katika tafakari yangu mawazo yakanitembeza nikajikuta naiona Tanzania bila Jiwe,Jiwe bila dhamana na mwishowe Bashite bila dhamana aliyonayo.Niliyoyaona katika ufunuo huo yanasikitisha sana!
Ngoja ikifika birthday ya mtoto wetu Keegan.Pascal Mayalla ameshasema tuachane na ‘mpakwa mafuta’. Hata akiamua wana chi wasiende kazini J3 hakuna wakumzuia.
Yakitimia usiniite mchawi mkuu, hujawajua master planner vzr ww.TISS, Na wadu wenginr kuanzia ccm. Wamkabidh makonda urais wa nchi.. maybe in hell?
urais ni taasis.. haihitaji mtu mwenye mawenge.
Yule sio presidential material.
Maasi gani wewe,Fiesta ndio unaona maasi pekee....Hayo mengine yanayofanywa na ndugu zako Jiwe na Mwanae huyaoni.Waislam tunamshukuru Allah, maasi yamepigwa break.
Sasa si ijulikane hakukua na kibali,wagonjwa wa moyo ni vipi tena?sababu ni kuwa clouds hawakuwa na kibali, na walidhania watapata kibali, based on last year's experience
EFM walinyimwa jana yake tu,
ndio maana umeambiwa tafuta facts, hauna
with all these media, kibali ungekiona, hawana na wlikuwa hawana
kibaya zaidi, utakuta wao clouds ndio waliitaka ile barua kuficha aibu
Mkuu umenitusi lkn, kwa heshima na taadhima nakuamuru uniombe radhi kabla ya saa sita mchana. Zingatia hilo.Waste of sperm for sure..
Mbona watu wana akili tu. Unadhani ccm inashindaga uchaguzi? Ilishinda kihalali 2005. 2015 jiwe alipata kura laki 9 halali akikumbuka hii nakuzomewa kwenye kampeni ndio unaona anamfunga hadi mboweSafi Sana ndo vizuri ili watu wapate akili wacha wanyooshwe tu ili mpaka kufikia 2020 wawe wameshapata akili za kuchagua kiongozi sahihi.
Binafsi nafurahia sana wanavyooshwa watu ni dalili njema za 2020 watakua na akili.
So Bashite na Pombe kazeni buto mpaka wapate akili
Where did he get those hips from? was he born with them? or he just acquired them after being turned into homophobia? So many questions are there, but there's a certain person who has answers.Mr Hips on top of everything
Kwa namna flani nafurahia upumbavu unaoendelea
Bashite ni msukule wa magufuli.ni ajabu sana waziri wa sanaa anakuwa driven na msukule!!.halafu rais anachekelea uhuni huuu!! maana yake tunarais mhuni sana na tapeli.Nimeumia sana siku ya Jana!
Niishie hapo
Ameaibisha kauli ile ya Rais kusifu fiesta kiasi alifikia kusema anatamani hata yeye aalikwe!Tunapoteza muda RC dar anapokosea kumsemea kwa rais. Kwanini usingeandika "RC dar unawachezea wananchi?. Unahisi kublock hiyo fiesta ametenda tukio kubwa na baya sana kwa taifa kuliko mengine aliyofanya huko nyuma ambayo sihitaji hata kuyataja.