Jambo Fikirishi: RC Makonda, unamchezea Rais?

Jambo Fikirishi: RC Makonda, unamchezea Rais?

Where did he get those hips from? was he born with them? or he just acquired them after being turned into homophobia? So many questions are there, but there's a certain person who has answers.
Let us ask Kinondoni Mayor Benjamin son of late Speaker Sitta, I think has the accurate answer
 
Sijafurahishwa kabisa na walivyotendewa, ni uonevu mtupu, mtu mwenye roho ya kishetani ndo anaweza kufanya hili!

Ila kinyago walikichonga wenyewe na sasa kinawamaliza, ilifikia sehem nikaacha kabisa kusikiliza Clouds kwa kumkweza bashite, walimchukulia kama mungu wao mdogo, wakampamba wakamtangaza wakaona yeye ndo kila kitu, sasa anawalipa, wapokee malipo!

Zamu ya efm na wasafi itakuja tu maana wameweka urafiki wa mashaka na mumian (mnyonya damu) au izirael mtoa roho!
 
Namchukia bashite but kwa hili bado siamini Kama anauwezo na uthubutu kufanya Jambo kubwa Kama hilo.
Naimani Kuna Jambo limejificha ambalo hatulijui maana hata clous wenyewe hawaeleweki si kawaida yao kuwa wapole namna hiyo na hawajawi kuwa hivyo.

Ngoja nijipe mda kwani ukweli utajulikana
Aliwahi kusema mwisho wa fiesta ni saa 6 usiku magufuli aliamuru likeshe umesahau?
 
Bashite ni msukule wa magufuli.ni ajabu sana waziri wa sanaa anakuwa driven na msukule!!.halafu rais anachekelea uhuni huuu!! maana yake tunarais mhuni sana na tapeli.
Acha tu mkuu ,hawajui wangapi tumepata hasàra
 
Mi nahisi ile barua ni feki na ndio maana haina muhuri yawezekana kamchezo cha wajanja
Lakini kama ni kweli barua halili kutoka ofisi ya utamaduni kinondoni Clouds nendeni mahakamani watawalipa fidia mtakayo
Huwezi kufuta shughuli kubwa kama ile kabla ya saa 24 kufanyika
 
Namchukia bashite but kwa hili bado siamini Kama anauwezo na uthubutu kufanya Jambo kubwa Kama hilo.
Naimani Kuna Jambo limejificha ambalo hatulijui maana hata clous wenyewe hawaeleweki si kawaida yao kuwa wapole namna hiyo na hawajawi kuwa hivyo.

Ngoja nijipe mda kwani ukweli utajulikana
Tafta mfanyakaz hta m1 wa pale utajua full story mkuu,jana nlibahatika kuwasiliana na m1 7b ni homey,daah yaani ongea yake tu unaweza jua kafiwa,imagine knakuwaga na session za vipindi mwezi mzima watu wametayarisha than dakika ya mwsho inakua ndivuo sivyo,upande wa 2 kubwa kuliko wote ni investors,makampunj yamefanya kutweet kistarabu by mind you next time kuinvest kwny same business ni ngumu.
Inshort hii effect sio ya mwaka m1 tu
 
Hayotimia na sikuiti mchawi. Hujawajua wanamuweka rais pale kwenye kiti vizur. Sidhan wana muda mchaf wa kumuweka makonda kama rais ni ujinga ulitokuka
Yakitimia usiniite mchawi mkuu, hujawajua master planner vzr ww.
 
Acha uchonganishi, kusitishwa kwa fiesta baada ya kuona madhara yanayoweza kujitokeza ni jambo jema. Halafu Rais atazuia vingapi? Mkuu wa mkoa ana mamlaka hayo. Safari hata za Qatar airways, fly Emirates, Rwandan air huahirishwa kwa sababu za kiusalama na kiufundi. Sio jambo geni kwa waungwana. Let's be two sided coin
 
Waislam tunamshukuru Allah, maasi yamepigwa break.
Poor Africans..It is fascinating that countries that owned their culture and practiced their religion and culture are doing relatively better than Africa. A good example is China, Japan and the rest of South Asia. While Asia and Africa were both colonized, Asia retained a whole lot of its culture, Africa did not....Grandpa told me
 
Kweli ule msemo kuwa ukimchekea sana mbwa atakufuata msikitini nimeuelewa.

Nakumbuka mwaka Jana au juzi kiongozi wetu wa nchi alielezea suala la Tigo fiesta kwa wananchi kwamba ni ubunifu mzuri wa ajira na akawasifu sana Clouds.

Ilifika hata akatangaza kuwaongezea muda wa onyesho. Jee wakati huo hakukuwa na wagonjwa?

Leo hii RC wa Dar kwanza kawatia moyo CMG na Tigo kuwa hii itakuwa kubwa kuliko na watu waka invest vya kutosha fedha nyingi, lakini Makonda na uongozi wake wa Dar walikuwa wanajua nini wamepanga. 24 hours before event wakawaonyesha kuwa wao ndio wababe wa Jiji hata kama Rais aliwahi kutamka kuwa shughuli hizo ni nzuri na halali, nani kama Paul Makonda Dar es salaam?

Mheshimiwa Rais, hizi aibu unazopewa na huyu kijana wako utazifumbia macho hadi lini? Visasi vyake na hao Clouds sii ulishawashikisha mikono Tanga mbona sasa anatumia ofisi kuendeleza ubabe?

Kumbuka huo msemo wa waswahili kuhusu muislamu na mbwa wake!
RC ndio kaahirisha tamasha?
Baseless allegations
 
Clouds nao wajinga,,,, wanaamini DAB amewasamehe kwa lile sakata na jinsi walivyomchafua ?

Jamaa alikuwa anajoki tu huku akijua Kuna siku atawaumbua,,,,

Kavia watu wameshainvest pesa zao kila kitu alafu akawapiga block,,,,

Huyu jamaa ni zero brain, masikio yanazidi kichwa, mwisho wake hautakuwa mzuri
Ili kumkomoa clouds walitakiwa kufanya tamasha lao pale Tanganyika packers
 
MI NIKIKUMBUKA WANAMFUATA NA COSTA MPKA KWAKE DAAAH NABAKI KUCHEKA TU AISEE NA MASWALI WALIYOKUA WAKIMUULIZA HUYO MIINA ALLY ALIVYOKUA ANATETEMEKA HUKU AKIHOJI NA VICHEKO VYA KINAFIKI NKASEMA TU HAPA NI KUPAKANA MAFUTA KWA KUTUMIA MGONGO WA CHUPA
 
Back
Top Bottom