Jambo Fikirishi: RC Makonda, unamchezea Rais?

Jambo Fikirishi: RC Makonda, unamchezea Rais?

Ila ile barua imeandikwa na afisa utamaduni wilaya ya Kinondoni,sijui kwa nini umesema ni Makonda alifanya hayo. NB: simuungi mkono RC
 
Maasi gani wewe,Fiesta ndio unaona maasi pekee....Hayo mengine yanayofanywa na ndugu zako Jiwe na Mwanae huyaoni.

Uislam hautaki UNAFIKI
Macho unayo lakini hayaoni, masikio unayo lakini hayasikii. Una maradhi kwenye moyo na hayapungui, huzidi tu, mpaka utakapotoka kizani na kuingia kwenye nuru.
 
kuna watu wameachwa na madeni makubwa na kusababisha hasara nyingi sana jana sasa kama walijua madhara ya hilo tamasha pale na wakapewa kibari alafu mwisho wa siku wakageukwa hiyo ni picha tosha ya kuwa wakuu wa mamlaka husika akili zai zinafikiria dk mbili mbelu tu alafu prezidaah anataka aongozane nao kwenye uchumi wakati 2025
 
Ukiachalia swala la wagonjwa wa moyo kama walivyoandikia barua uongozi wa manispaa kwamba linawaletea kero mpaka wengine kuzimia ila asilimia kubwa kusitishwa ni figisu figisu za DAB/WCB-SALLAM.
Mbona hata hueleweki sasa tufuate lipi hilo la wagonjwa wa moyo au figisu figisu?
 
Mbona hata hueleweki sasa tufuate lipi hilo la wagonjwa wa moyo au figisu figisu?
Wagonjwa wa moyo wapo hapo kabla hata Fiesta haijulikani kitu gani,hata Summer Jam bado haijaingia TZ......99% ni Figisu Nyawilanyawila za DAB.
 
Kijana shupavu na mchapakazi, hakika dsm tuna cha kujivunia kuwa na jembe kama hili, mikoa mingine wanatuonea wivu wanatamani angekuwa mkuu wao wa mkoa, hyu mtu ata urais anatufaa sana, he is a visionary leader. Chapa kazi mkuu.
we ni gasho
 
Wagonjwa wa moyo wapo hapo kabla hata Fiesta haijulikani kitu gani,hata Summer Jam bado haijaingia TZ......99% ni Figisu Nyawilanyawila za DAB.
Zamani speaker kali kama za sasa hivi hazikuwepo. Pia nasikia watu wanaoishi hapo wamekuwa wanalalamika siku nyingi sana ila walikuwa hawasikilizwi tu. Sasa naona wamesikilizwa na watakuwa wamefurahi sana.
 
Tutarajie kutofanyika tamasha lolote hapo Lidaz Club siku zijazo....This Case is Closed.
 
Tutarajie kutofanyika tamasha lolote hapo Lidaz Club siku zijazo....This Case is Closed.
Mwandishi wa Mwananchi alifika katika Hospitali ya Ubalozi Medical Clinic iliyopo mita 200 kutoka vilipo viwanja vya Leaders na kukutana na Mkurugenzi wa hospitali hiyo, Dk Aneth Rwebembela ambaye alisema hakuna mgonjwa aliwalalamikia wala kuzimia kutokana na muziki.Tamasha la Fiesta laacha simanzi, maswali lukuki
 
Ila DAB kiboko! Kaona ule msaada wa Jiwe Kwa matibabu ya Ruge 46m isiwe hoja, kawaingizia hasara zaidi ya zile ili tuu asifaidi
 
Hahahaha kuna mdau mmoja maarufu Katoa sababu za kusitishwa kwa hilo tamasha,mmmh acha tu km ni kweli
Mbona Mkurugenzi wa Manispaa amesema wao ndio wamezuia? Hizo sababu nyingine ni zipi?
Mwandishi wa Mwananchi alifika katika Hospitali ya Ubalozi Medical Clinic iliyopo mita 200 kutoka vilipo viwanja vya Leaders na kukutana na Mkurugenzi wa hospitali hiyo, Dk Aneth Rwebembela ambaye alisema hakuna mgonjwa aliwalalamikia wala kuzimia kutokana na muziki.Tamasha la Fiesta laacha simanzi, maswali lukuki
 
Ngoja nikanywe supu ya pweza mie,HV kuna supu ya pweza ya maana mkoa mwingine zaidi ya dar,cuz nn safari ya Moshi nasikia napo ipo,ni kweli wadau au hakuna!?
 
Back
Top Bottom