Jambo Fikirishi: RC Makonda, unamchezea Rais?

Jambo Fikirishi: RC Makonda, unamchezea Rais?

Clouds nao wajinga,,,, wanaamini DAB amewasamehe kwa lile sakata na jinsi walivyomchafua ?

Jamaa alikuwa anajoki tu huku akijua Kuna siku atawaumbua,,,,

Kavia watu wameshainvest pesa zao kila kitu alafu akawapiga block,,,,

Huyu jamaa ni zero brain, masikio yanazidi kichwa, mwisho wake hautakuwa mzuri
Wakome kujipendekeza kwa serikali Na kuwananga wapinzani kuwasema vibaya kuwaona hawana maana hawafai hakuna wanachokifanya safi Sana yamewageuka[emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Ndani ya nchi hii kuendelea ni kazi sana, watu wenye dhamana wana roho za kutu sana,
Yani wanachagua nani afanye nini na nani asifanye,
Huo ni wivu wa like kabisa
 
Huwezi kuipangia Municipal namna ya kufanya maamuzi yake kwa maslahi ya wakazi wa karibu na Leaders Club kama vile kwa miaka yote Clouds wamekuwa hawapangiwi namna ya kutangaza. Ni kusifia tu.
 
100% sure.
Kijana shupavu na mchapakazi, hakika dsm tuna cha kujivunia kuwa na jembe kama hili, mikoa mingine wanatuonea wivu wanatamani angekuwa mkuu wao wa mkoa, hyu mtu ata urais anatufaa sana, he is a visionary leader. Chapa kazi mkuu.
 
Safi Sana ndo vizuri ili watu wapate akili wacha wanyooshwe tu ili mpaka kufikia 2020 wawe wameshapata akili za kuchagua kiongozi sahihi.

Binafsi nafurahia sana wanavyooshwa watu ni dalili njema za 2020 watakua na akili.

So Bashite na Pombe kazeni buto mpaka wapate akili
 
Pascal Mayalla ameshasema tuachane na ‘mpakwa mafuta’. Hata akiamua wana chi wasiende kazini J3 hakuna wakumzuia.
Na walishaambiwa kuwa mpakwa mafuta ni naibu raisī sasa bado tu wanataka shinďana na taasis ya unaibu raisi
 
Tunapoteza muda RC dar anapokosea kumsemea kwa rais. Kwanini usingeandika "RC dar unawachezea wananchi?. Unahisi kublock hiyo fiesta ametenda tukio kubwa na baya sana kwa taifa kuliko mengine aliyofanya huko nyuma ambayo sihitaji hata kuyataja.
 
Utabiri wangu unaniambia mkuu wetu wa darisalama ndie next president baada ya jemedari aliepo sasa.
TISS, Na wadu wenginr kuanzia ccm. Wamkabidh makonda urais wa nchi.. maybe in hell?
urais ni taasis.. haihitaji mtu mwenye mawenge.
Yule sio presidential material.
 
Sio kweli, kwa upendo wa dhati alionao kwa watu wake, hawezi kufanya hvyo,. Acheni kuguess kila kitu tafuteni facts.
Okay tupe facts ww ambae unajua sana? Sababu alizozitaja ni very weak sana.
All those years walikuwa wanafanyaje? Wagonjwa wa moyo walikuwa hawapo?

Sababu weak sana hizo
 
Kweli ule msemo kuwa ukimchekea sana mbwa atakufuata msikitini nimeuelewa.

Nakumbuka mwaka Jana au juzi kiongozi wetu wa nchi alielezea suala la Tigo fiesta kwa wananchi kwamba ni ubunifu mzuri wa ajira na akawasifu sana Clouds.

Ilifika hata akatangaza kuwaongezea muda wa onyesho. Jee wakati huo hakukuwa na wagonjwa?

Leo hii RC wa Dar kwanza kawatia moyo CMG na Tigo kuwa hii itakuwa kubwa kuliko na watu waka invest vya kutosha fedha nyingi, lakini Makonda na uongozi wake wa Dar walikuwa wanajua nini wamepanga. 24 hours before event wakawaonyesha kuwa wao ndio wababe wa Jiji hata kama Rais aliwahi kutamka kuwa shughuli hizo ni nzuri na halali, nani kama Paul Makonda Dar es salaam?

Mheshimiwa Rais, hizi aibu unazopewa na huyu kijana wako utazifumbia macho hadi lini? Visasi vyake na hao Clouds sii ulishawashikisha mikono Tanga mbona sasa anatumia ofisi kuendeleza ubabe?

Kumbuka huo msemo wa waswahili kuhusu muislamu na mbwa wake!

mkuu unayo barua ya au kibali cha clouds kufanya fiest pale?

ukikipata kiweke hapa, ukikikosa utagundua hata DAB aliingizwa mjini na CMG

kisha utabadili story yako nzima


narudia weka hapa kibali cha manispaa kuwaruhusu clouds kufanya fiesta pale

pia acha kuishi kwa kuwaza au kutunga, ni dhambi pia
 
Okay tupe facts ww ambae unajua sana? Sababu alizozitaja ni very weak sana.
All those years walikuwa wanafanyaje? Wagonjwa wa moyo walikuwa hawapo?

Sababu weak sana hizo

sababu ni kuwa clouds hawakuwa na kibali, na walidhania watapata kibali, based on last year's experience

EFM walinyimwa jana yake tu,

ndio maana umeambiwa tafuta facts, hauna

with all these media, kibali ungekiona, hawana na wlikuwa hawana

kibaya zaidi, utakuta wao clouds ndio waliitaka ile barua kuficha aibu
 
Clouds nao wajinga,,,, wanaamini DAB amewasamehe kwa lile sakata na jinsi walivyomchafua ?

Jamaa alikuwa anajoki tu huku akijua Kuna siku atawaumbua,,,,

Kavia watu wameshainvest pesa zao kila kitu alafu akawapiga block,,,,

Huyu jamaa ni zero brain, masikio yanazidi kichwa, mwisho wake hautakuwa mzuri
Jana nimekaa kibarazani kwangu nikiwa nimevaa msuli napiga gahawa.Katika tafakari yangu mawazo yakanitembeza nikajikuta naiona Tanzania bila Jiwe,Jiwe bila dhamana na mwishowe Bashite bila dhamana aliyonayo.Niliyoyaona katika ufunuo huo yanasikitisha sana!
 
Okay tupe facts ww ambae unajua sana? Sababu alizozitaja ni very weak sana.
All those years walikuwa wanafanyaje? Wagonjwa wa moyo walikuwa hawapo?

Sababu weak sana hizo
Mkuu first of all kabla sijaweka facts zangu, naomba nianze na kukuomba uweke hapa barua ya manispaa ikiwaruhusu kufanya tamasha pale,. Then tutaongea lugha moja.
 
Back
Top Bottom