Jambo Fikirishi: RC Makonda, unamchezea Rais?

Jambo Fikirishi: RC Makonda, unamchezea Rais?

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
881
Reaction score
2,569
Kweli ule msemo kuwa ukimchekea sana mbwa atakufuata msikitini nimeuelewa.

Nakumbuka mwaka Jana au juzi kiongozi wetu wa nchi alielezea suala la Tigo fiesta kwa wananchi kwamba ni ubunifu mzuri wa ajira na akawasifu sana Clouds.

Ilifika hata akatangaza kuwaongezea muda wa onyesho. Jee wakati huo hakukuwa na wagonjwa?

Leo hii RC wa Dar kwanza kawatia moyo CMG na Tigo kuwa hii itakuwa kubwa kuliko na watu waka invest vya kutosha fedha nyingi, lakini Makonda na uongozi wake wa Dar walikuwa wanajua nini wamepanga. 24 hours before event wakawaonyesha kuwa wao ndio wababe wa Jiji hata kama Rais aliwahi kutamka kuwa shughuli hizo ni nzuri na halali, nani kama Paul Makonda Dar es salaam?

Mheshimiwa Rais, hizi aibu unazopewa na huyu kijana wako utazifumbia macho hadi lini? Visasi vyake na hao Clouds sii ulishawashikisha mikono Tanga mbona sasa anatumia ofisi kuendeleza ubabe?

Kumbuka huo msemo wa waswahili kuhusu muislamu na mbwa wake!
 
Ccm sio wa kuwaamini
20181125_073606.jpeg
 
Kijana shupavu na mchapakazi, hakika dsm tuna cha kujivunia kuwa na jembe kama hili, mikoa mingine wanatuonea wivu wanatamani angekuwa mkuu wao wa mkoa, hyu mtu ata urais anatufaa sana, he is a visionary leader. Chapa kazi mkuu.
 
Kweli ule msemo kuwa ukimchekea sana mbwa atakufuata msikitini nimeuelewa.
Nakumbuka mwaka Jana au juzi kiongozi wetu wa nchi alielezea suala la Tigo fiesta kwa wananchi kwamba ni ubunifu mzuri wa ajira na akawasifu sana Clouds.
Ilifika hata akatangaza kuwaongezea muda wa onyesho. Jee wakati huo hakukuwa na wagonjwa?
Leo hii RC wa Dar kwanza kawatia moyo CMG na Tigo kuwa hii itakuwa kubwa kuliko na watu waka invest vya kutosha fedha nyingi, lakini Makonda na uongozi wake wa Dar walikuwa wanajua nini wamepanga. 24 hours before event wakawaonyesha kuwa wao ndio wababe wa Jiji hata kama Rais aliwahi kutamka kuwa shughuli hizo ni nzuri na halali, nani kama Makonda Dar es salaam?
Mheshimiwa Rais, hizi aibu unazopewa na huyu kijana wako utazifumbia macho hadi lini? Visasi vyake na hao Clouds sii ulishawashikisha mikono Tanga mbona sasa anatumia ofisi kuendeleza ubabe?
Kumbuka huo msemo wa waswahili kuhusu muislamu na mbwa wake!
Jiwe ataamini anayoambiwa siku atakapovuliwa chupi na kuachwa kengele zikining'inia
 
Clouds nao wajinga,,,, wanaamini DAB amewasamehe kwa lile sakata na jinsi walivyomchafua ?

Jamaa alikuwa anajoki tu huku akijua Kuna siku atawaumbua,,,,

Kavia watu wameshainvest pesa zao kila kitu alafu akawapiga block,,,,

Huyu jamaa ni zero brain, masikio yanazidi kichwa, mwisho wake hautakuwa mzuri
 
Sio kweli, kwa upendo wa dhati alionao kwa watu wake, hawezi kufanya hvyo,. Acheni kuguess kila kitu tafuteni facts.
Sio mara ya kwanza DAB kuleta figisu hata nyuma kwenye tamasha ya "CLOUZI" leaders club BASHITE alisema mwisho saa 6 ila Prezoo Jiwe akaingilia kati na kusema Ruge akinukisha mpaka asubuhi,Bashite ni Mtuhatari nashangaa kwanini Musiba hakumtaja.
 
Clouds nao wajinga,,,, wanaamini DAB amewasamehe kwa lile sakata na jinsi walivyomchafua ?

Jamaa alikuwa anajoki tu huku akijua Kuna siku atawaumbua,,,,

Kavia watu wameshainvest pesa zao kila kitu alafu akawapiga block,,,,

Huyu jamaa ni zero brain, masikio yanazidi kichwa, mwisho wake hautakuwa mzuri
Clouds walimchafuwa vipi Bashite? Au kiswahili kinakupiga chenga?
 
Namchukia bashite but kwa hili bado siamini Kama anauwezo na uthubutu kufanya Jambo kubwa Kama hilo.
Naimani Kuna Jambo limejificha ambalo hatulijui maana hata clous wenyewe hawaeleweki si kawaida yao kuwa wapole namna hiyo na hawajawi kuwa hivyo.

Ngoja nijipe mda kwani ukweli utajulikana
 
Sasa hivi huyu Rais wetu hayaoni haya anayofanyiwa?
Sawa yeye aweza kumsamehe Kwa vile anampenda, lakini Urais ni taasisi na hakuna ruksa kuiaibisha kamwe. Kwani katiba inasema hata Rais mwenyewe akiaibisha taasisi hiyo anatakiwa aondolewe
 
Back
Top Bottom