Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Binafsi ninamshukuru maulana nimeuanza vyema Nikiwa ni mwenyewe afya njema .
Tukio baya Ambalo Siwez kulisahau ni kuibiwa pikpik yangu Juzi.
 
Jambo baya zaidi lililotikea mwaka huu ni "faru john" kushika nchi
 
MWENYE ENZI MUNGU MAULANA MOLA RHABUKA HAKIKA YUKO UPANDE WANGU SASA NA MILELE YOTE AMEN RA
 
NENO LA MUNGU: "SHUKURUNI KWA KILA JAMBO"
Mshukuru kwa kukupatia magufuli, mshukuru kwa Kafulila kukosa ubunge lkn mshukuru kwa tibaijuka na chenge kupata ubunge......
 
Kukorofishana na mshua wangu,ni jambo baya lililo nikuta mwaka huu.

But despite the ugly Mola akanijalia nikapata kid wangu wa kwanza.
Life goes on.
 
Back
Top Bottom