Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Kizuri nitakachokikumbuka ni kumpata mwanamke niliyemfukuzia kwa kipindi kirefu, but so sad tume break leo kabla hata ya mwaka wenyewe kuisha. Anyway yote maisha.
 
Kizuri nitakachokikumbuka ni kumpata mwanamke niliyemfukuzia kwa kipindi kirefu, but so sad tume break leo kabla hata ya mwaka wenyewe kuisha. Anyway yote maisha.
Afadhali.
 
Afadhali.
Yaani unasema afadhali badala ya kunipa pole jaman!

Hata hivyo imekuwa bora maana hela zangu zimeokoa, maana kummeintain mwanamke mzuri ni sawa na kuwa gari aina ya toyota BREVIS linalobugia mafuta bila huruma.
 
Mwaka huu nmempoteza mama kipenzi Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi[emoji120]
 
Today usiku huu mida ya saa tatu nimempoteza babu yangu.....apumzike kwa amani
 
Sita sahau rambirambi za kagera
Jambo baya kabisaa hili.
 
kupata mitihani mikubwa sana kazini hadi kuambiwa na mabosi wangu nitoroke maana nitakamatwa na takukuru lakini sikutoroka na mpaka leo nipo kazini, na kosa lilikuwa mimi nitoroke ili uozo wote nitupiwe mimi kwa ajili ya kutoroka na wenyewe wawe safe. ila kwa kweli Mungu ni mwema
 
Km ni mtihan basi wamefeli weng humu hawajasoma vzr kchwa cha habar sijui [emoji23] ...."Jambo baya zaid..."lkn chek comment dah
Mimi mleta thread nimefeli pia kwani nimemaliza na jambo zuri zaidi[emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]ndo maana wengi wameelezea pia jambo zuri pia kwa mwaka huu
 
kwakweli mwaka huu ulinikuta nikiwa kitandan siwez kutembea kabisa mgonjwa na nmetumia mwaka mzima kujiuguza but Mungu mwema sasa nimepona na narejea kwe majukumu yangu kama kawaida mapema mwakani
 
kwakweli mwaka huu ulinikuta nikiwa kitandan siwez kutembea kabisa mgonjwa na nmetumia mwaka mzima kujiuguza but Mungu mwema sasa nimepona na narejea kwe majukumu yangu kama kawaida mapema mwakani
Pole sana, ilinikuta mwaka jana ht sitaki kukumbuka. Kuanza kujifunza kutembea km mtoto,asikwambie mtu.
 
Kwa kweli nashukuru Mungu hakuna jambo baya lililonitokea mwaka huu ila mafanikio ni kuweza kununua Viwanja vitatu ujenzi sijaanza mambo yamebana ngoja nisubiri next yr
 
kwenda jkt ni jambo baya kwangu ila kupata mkopo wa heslb na kupanga ni mambo mazuri kwangu mwaka huu
 
Back
Top Bottom