Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Namshukuru Mungu mwaka huu umekua mzuri kiasi chake kwangu,nimepaua banda langu,nimeongeza familia ya kababy boy.
Huzuni nlimpoteza babangu Mkubwa na bibi(wa ukoo).Yote kwa yote Mungu ni mwema azidi kutupigania na mwaka unaokuja.
 
Congratulations for a kick A** bonus at work, keep it up.
Pole kwa kupigwa chini na future baby day, IMO you made the right decision, with this current environment in our beloved country it is better to stay where you're until further notice.
Achaaa tu mtu mzima kuingizwa kingi si mchezo..............Unfortunately, this came at a point that I am not able to undo the plans without adverse consequences, kwa hivyo ndio narudi na mimi kulikabili gwaride la Mkuu!
 
Back
Top Bottom