Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Licha ya kejeli ila nilifata ushauri nilioupewa kuwa nimchukue binti nimpeleke home ambako ndo yupo hadi sasa hivi....msala mwingine unaoniumza kichwa hadi sasa hivi ni ofisini nilipokuwa nafanya kazi baada ya kumaliza form 6 nilipoteza million 10...yaani mpaka sasa sielewi ile hela ilienda wapi..boss wangu hadi leo anaamini nilichukua hiyo hela wakati sio....
Nuksi nyingine mwaka huu nikuvamiwa home na vibaka waliniibia vitu vyangu vya thamani thamani nimeripoti police ila hadi leo sijaona respond yoyote...
Baraka nilizopata mwaka huu ni nyingi pia namshukuru mungu sana kwa hili kwani binti alijifungua salama na sasa nina mtoto wa kiume(ZAWADI KUBWA ZAIDI MAISHANI MWANGU )huwa nikikaona kana tabasam nkikumbuka kalivyokuwa kanataka kutupwa chooni ili mama ake asome naona aibu sana...
Merry xmass MMU
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
MALIMBUKO NA ZAKA NI MUHIMU KUKUMBUKA.....KAMA WEWE NI MKRISTO.
 
BINAFSI NILIKAA 2 YRS BILA KUWA NA AJIRA......NASHUKURU MUNGU, TOKA NOV MOSI NIMEAJIRIWA RASMI NA SASA MAISHA YANASONGA....
 
Back
Top Bottom