Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Mie ni kukosa offer za bia kwenye mabaa tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma nilikuwa nakaribishwa but mwaka huu hadi unakaribia kuisha sijawahi kununuliwa hata pilsner ya 1,500/=
 
Achaaa tu mtu mzima kuingizwa kingi si mchezo..............Unfortunately, this came at a point that I am not able to undo the plans without adverse consequences, kwa hivyo ndio narudi na mimi kulikabili gwaride la Mkuu!
Daaah.. Pole sana.. I can feel your pain... But Mungu ni mwema you will get through
 
Mimi mleta thread nimefeli pia kwani nimemaliza na jambo zuri zaidi[emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]ndo maana wengi wameelezea pia jambo zuri pia kwa mwaka huu
Hahahha we ndo umewapeleka chaka wenzio wallah [emoji23]
 
Back
Top Bottom