Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Jambo baya zaidi lililokutokea mwaka huu

Mimi mwaka huu Mungu amenibariki, kwanza nimepata mtoto mzuri sana wa kiume. Pili nilipata kazi baada ya kusota miaka miwili nyumbani nikijaribu kufanya biashara bila mafanikio.
Jambo baya ni moja tu, kushuhudia mwanaume niliempenda sana kuliko neno kupenda akimlipia mahari mwanamke mwingine.
 
Mimi baya nililokutana ni kupoteza mda mwingi kusubilia ajira ya pumba juma maharagwe ila mpaka sasa amelala nazo magogoni!!!
 
Back
Top Bottom