....Mwanamke anaweza akiwezeshwa.....Ok.......and then.........?
Wapo wengi tuu.
![]()
....Mwanamke anaweza akiwezeshwa.....
Ila umbea ndiyo wanauwezea kwa sana. Hakuna cha darasani wala nini....Mwanamke anaweza akiwezeshwa.....
Yeyote aliye karibu nae kuzingatia kiwango cha kuwezeshwa anachotaka,mfano kwenda shule akisisitizwa na wazazi atazingatia sana elimu, au kuchukua masomo ya sayansi bila msukumo wa ziada wanawake wengi wanayaogopa,pia kuingia kwenye kazi ambazo zimezoeleka kuwa ni za wanaume kwa kiasi kikubwa,kama hii bila msukumo wa serikali haitawezekananani amuwezeshe?
Nadhani ni asili yao kuongeaongea "umbea" thus kama tukiwahukumu kwa asili yoa hatutawatendea haki. Ni sawa na kulalamika kwanini simba anawaua swala,kwake swala ni chakula tu. Ila level ya umbea ikiwa kubwa then hapo ni tatizo,lkn ....wakiwezeshwa kuacha umbea,wanaweza...!Ila umbea ndiyo wanauwezea kwa sana. Hakuna cha darasani wala nini
Ok.......and then.........?
Kwa hiyo na wewe umeona uzuri wake? Naona wivu! :angry:
What's the point? Am I missing something?