Maskini mwali! Kweli ndege mjanja. . . .
U mean KGB agent eeeeeh??Huyu lazima atakuwa mRusi tu huyu
Mi sijambo. It is indeed exciting. Mi nafanya kazi mining...Its exciting to do a job that is termed masculine. Like using my ak47, lol.
Hujambo eeh?
Nadhani ni asili yao kuongeaongea "umbea" thus kama tukiwahukumu kwa asili yoa hatutawatendea haki. Ni sawa na kulalamika kwanini simba anawaua swala,kwake swala ni chakula tu. Ila level ya umbea ikiwa kubwa then hapo ni tatizo,lkn ....wakiwezeshwa kuacha umbea,wanaweza...!
..sio wanaume hao ni mixture yaani wanauke,maana kijinsia ni wanaume kihalisia wanamatendo ya kikeSiku hizi wanaaongoza kwa umbea ni wanaume
Sent from my BlackBerry Porsche Design using JamiiForums
...mmmh very few of you wanaweza bila kuwezeshwa, chunguza happiness utabaini tu ! The very big enemy of your ability to do things on your own ni nature
...mmmh very few of you wanaweza bila kuwezeshwa, chunguza happiness utabaini tu ! The very big enemy of your ability to do things on your own ni nature
And then mnapozidi kujaribu kufikia hatua hiyo,mtajikuta mnaunda mfumo mpya wa maisha,mfano kasi ya ndoa kuvunjika itazidi maradufu ya sasa na matatizo makubwa yatakayo yumbisha mambo mengi,maana wanaume hawatakuwa tayari kuuza nafasi yao.Nakubaliana na wewe Gefu 100%. Lakini kutokana na maisha ya karne hizi ambazo vidume vimeshindwa kusimama kwenye nafasi zao navyo vinataka vihudumiwe, vilishwe bure na kudeka deka hovyo, wanawake inatubidi tugangamale tu wenyewe. Amini usiamini, itafika kipindi tutafanya kila kituuuuuu nanyi mtatutumikia kwa uzembe wenu wa kuuza majukumu yenu.
Wewe anaweza bila kuwezeshwa kwani unamuona nani hapo anayemwezwsha?wakati yuko peke yake?....Mwanamke anaweza akiwezeshwa.....
Ok.......and then.........?