Jamani wandugu nisaidien | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani wandugu nisaidien

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dik, Nov 15, 2011.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nina girlfriend 2,wote wananipenda nashindwa fanya maamuzi coz nikimwacha mmoja sitajisikia kama namtendea haki naye atanilaumu sana.kubwa zaidi nimegundua kuwa wanakaa karibu na watakuja gundua.nisaidien p/se.am serious
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  subiri wajuane ndo utapata uamuzi wa kufanya
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Nimeelewa tu mstari wa kwanza,huko kwngne cjaelewa chochote,jifunze kuandika vizuri.over
   
 4. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Unaandika kilatini sisi tusiokijua tutakusadiaje?
   
 5. Capitol Hill

  Capitol Hill JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 19, 2007
  Messages: 733
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Well umechimba shimo mwenyewe...what did you think? Naangalia jina lako nali associate na issue uliyonayo, nashindwa kujua kama uko serious au you are just a player. Labda nikupe ushauri tu. Don't ever play women like this again. Kuna siku utalipa.
   
 6. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 80
  kama dini yao inaruhusu mitala, waoe wote...kam vipi uwapotezee wote
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Wakutanishe wote wawili na uwafahamishe wajuane!!
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Flip a coin.
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Waache wapigane....mshindi anaondoka na wewe as a prize

  :mad:
   
 10. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaaa hii kali! Unaposema ukimuacha mmoja hautakua umemtendea haki basi watambulishe wafahamiane ndio itakua jambo la busara....lol
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mbona umeamka mapema leo?
   
 12. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Unajua unachopenda kwa mwanamke?kama unajua na unafahamu mwanamke unaemtaka?
   
 13. Dogo Lao

  Dogo Lao Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kila jambo lina gharama zake. Zipo gharama zinazoweza kubebeka, na zipo zisizobebeka. Kama unaona kumwacha mmoja utakuwa haujatenda haki, ilitakiwa wazo hilo uwe nalo kabla haujamtongoza huyo mwingine, so mm nakushauri kubali kuonekana mbaya kwa wote halafu nenda kajichukulie kifaa kingine mbali na hapo ili kulinda heshima yako, or subiri wajuane ili uchafue zaidi jina lako.
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  ilikuaje ukawa na 2? Sababu zilizokufanya uwe nao wa2 ndizo uzitumie kumwacha m1.
   
 15. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mchukue mwenye sifa unazozitaka sababu haiwezekani wote wakawa na sifa sawa,na wewe unaelekea hutosheki kama Kaburi.
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  ArabianFalcon kama ungekua wewe ndo mmoja wa hao mabint ungesema hivyo?
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,442
  Likes Received: 5,695
  Trophy Points: 280
  waambie nimeamua kumfwata cameroon pls niachen tafadhali atakae endeleea kukungania huyo nenda nae
   
 18. Typical

  Typical JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 261
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Fanya ana ana, ana doo!
   
 19. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Mbona hujibu? Ilikuwaje ukamchukua wapili wakati tayari unaye mmoja?
   
 20. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  umeshasema kuwa hautaki kumuacha mja kati yao ili ubaki na mmoja.

  hakuna ushauri zaidi ya kuchagua mmoja kati yao. vinginevyo subiria wafahamiane then wakuache wote hapo utatatia akili.
   
Loading...