Jamani wanaume wasomi mna nini?

HIyo sawa lkn kua wale anatamka kabisa umeleta hasara kwasababu hujaenda shule kama mimi nk nk...
 
Waliosoma sana kwenye mahusiano ni zero. Halafu mara nyingi wanaamini wewe ndio unatakiwa kujikomba kwao. Yaani kuwa na wewe ni kama amekupa msaada. Ni sheeeeda hao watu.

Nimekuelewa vizuri mno. kuna jamaa kapigwa chini na demu analalamika mimi na usomi wangu wote kakimbilia kwa mtu asiyesoma...lakni sema mshakaji alileta usomi mno
 
Hahahaaa, nimecheka sana!
Mkuu anayembembeleza mtu aliyefanya kosa ni waajabu sana! Lakini kama haumbembelezi haimaanishi umdharau.
Binafsi, achilia mbali mke wangu, mwanangu tu sidiriki kumuonesha dharau.

yaani ameingiza hasara then abembelezwe akuu...hakunaga jamani at the ci mnafisika kisa kuchekeana eti mapenzi wapi wwe even me.
 
Mi nafikiri hiyo ni tabia ya mtu na wala haina uhusiano na Elimu ya mtu maana kuna watu hiyo shule siyo kivile ila bado wadharau sana tu. hiyo ni asili ya mtu
 
kuna wakina dada wanabahati mbaya wanakutana na wanaume ambao 'selfish' hiyo ni shida mnao...yaani mtu mimi, mimi, hela zangu, mimi nimesoma, magari yangu, mimi utaniambia nini nimesoma..ukidate na mtu wa mmimi, mimi, mimi,mimi kimbia ufe...


Hahahaa umenichekesha sana eti kimbia ufe lol! @ Sr bachelor, Back to the topic kuna mwanaume aliwahi niambia ameachana na Mkewe kisa hakuwa Innovator anyhow! Duuuh
 
Hahahaa umenichekesha sana eti kimbia ufe lol! @ Sr bachelor, Back to the topic kuna mwanaume aliwahi niambia ameachana na Mkewe kisa hakuwa Innovator anyhow! Duuuh

Ni shida kubwa nahisi ni kute kote, na ni maisha tuliyojifunza ya kulaumu zaidi kila linapotokea tatizo badala ya kulitatua...mimi huwa nawawambia washkaji ivi ukimuoa mke alafu baadae ukaja ukamuona sio innovative, sio msomi kama wewe nk..hapo shida ipo kwa aliyeolewa au ipo kwa wewe ulishidwa kuona mke wako ni mtu wa aina gani..Mimi nimeona wanawake ni wepesi sana wa kuadilika kama mkielezana kwa utaratibu bila kashfa...
 
Hahahaa umenichekesha sana eti kimbia ufe lol! @ Sr bachelor, Back to the topic kuna mwanaume aliwahi niambia ameachana na Mkewe kisa hakuwa Innovator anyhow! Duuuh

Ni shida kubwa nahisi ni kute kote, na ni maisha tuliyojifunza ya kulaumu zaidi kila linapotokea tatizo badala ya kulitatua...mimi huwa nawawambia washkaji ivi ukimuoa mke alafu baadae ukaja ukamuona sio innovative, sio msomi kama wewe nk..hapo shida ipo kwa aliyeolewa au ipo kwa wewe ulishidwa kuona mke wako ni mtu wa aina gani..Mimi nimeona wanawake ni wepesi sana wa kuadilika kama mkielezana kwa utaratibu bila kashfa...ila kuna watu wanakashfu wake zao sana, nakumbuka kuna mgonjwa wangu mmoja nlikua napiga nae story na kumshauri nikamwambia ukitaka umuheshimu mke wako embu fikiria usinge muoa wewe angelewa na nani..? nkamwambia unajuaje usingemuoa wewe labda angepata mtua akamuoa na kumuheshimu sana, pengine angekua na furaha zaidi...!!! and vice versa is true
 

hahahaha lara 1 njoo tuwasiliane ki english....lol
 
Last edited by a moderator:
Kumdharau mtu sio fresh ebu imagine huyo jamaa apelekwe NASA ci atangaa sharubu 2
 
Ni kweli wapo wa aina hiyo... LAKINI DADA MALKIA FARASI...KIMBEMBE UKUTE ZE OPOZITI SASA.... YAANI MWANAMKE NDO AWE NA HIYO PHD HALAFU MWANAUME NDO ANAISHI NA DEGREE YAKE... utashaaa na dunia... Na Mungu alivyowajaalia VOKABULARE...Mbona utajutaa....!!! Sasa mwanaume uzidiwe hivyo wakti huyo ye vika vyake vya kirafiki anakaa na aliyewahi kuwa mwenyekiti wa waliokwenda Beijing halafu naye ana elimu kama yake halafu HAJAOLEWA....
 
Hapo nadhani mume ndiye sio critical thinker alishindwa kujua mapungufu ya mkewe toka mwanzo wa mahusiano.

Huwa nafurahi kusikia mwanaume kasoma ila kaoa mdada wa diploma ila anajitambua na ana ujasiri!!!!
Yuko mmoja anafanya shirika moja la pensheni kaoa mdada alisoma secretarial tu baadae akaanza biashara zake kwa kiwa anajua mumewe ya mboga ipo huwa dada kiaina kama anamburuta towards maendeleo yaani akisikia say fremu inapangishwa humueleza tu mumewe hii naitaka kwa biashara fulani nilipie!!!!

Kuna kipindi alikuwa na safari ya Arusha sijui alitaka kwenda na mchepuko au vipi si unajua wanaume habari zetu saa nyingine tunazielewa wenyewe, kapiga simu apangiwe begi kuwa kesho anatakiwa kwenda Arusha mdada akapanga kuubwa na nguo zake ndani. Jamaa kuja anakuta mbegi huooooo anauliza mbona kubwa safari siku tatu tu!!!???? Dada akajibu simpo, hatuna mtoto wa kunyonya hapa mume wangu nimeona nikakupe kampani!!!!

Hii ndio wadada wengi wanakosea yaana wanakubali ubosi wa mume wake uje mpaka nyumbani..
 

Hapo kwenye hasara sikubaliani na ww kabisa!!!!!"!!!!!!!! hasara nyng kwny vitega uchumi vya wanandoa inatokana na upande mmoja kuchota hela kwa matumizi binafsi yasiyohusisha hicho kitega uchumi ss hapo unategemea hasara ikosekane!!!!!!!!! afu kwako unaweza kuona kufilisika ni kawaida lkn si jambo dogo ss huyo kaka kawekeza badala ya faida ni hasara hata kama ni ww utachukulia poa .................. ndoa hii haina ushirikiano wa kufanya mambo kwa pamoja
 


Uko sawa kabisa tinna cute kuna watu wachoyo na wabinafsi sana sema ndio unaweza gundua wakati mko mdani yaani yeye na kwao kwanza, mwenza na watoto baadae!!!!

Kuna jamaa fighter sana akaamua kumshirikisha mkewe kwenye shughuli zake akampa section moja aendeshe sasa wakipiga hesabu hakuna hasara ila faida ndogo sana inapatikana akimuuliza bibie majibu mepesi tu basi jamaa akaendelea nae mdogomdogo mwisho hasara ikaanza taratibu akiuliza majibu mepesi tu siku anakatiza mitaa ya mama mkwe wake anakuta canter linashusha masofa na mkewe yupo anasimamia zoezi. Akasalimia tu akapita! !!!!

Siku anamuuliza vipi siku hizi hatuongei kuhusu wazazi na mahitaji yao???!!!
Mke hana majibu!!

Sasa hapo jamaa angesema ile hasara imenunua masofa angelaumiwa kweli???!!
 
Last edited by a moderator:
wapo hao! pole zake.yeye alidhani mwanaume anaongezeka ubora wake usomi unavyoongezeka kumbe sio kabisa.wala havihusiani wether direct au indirect!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…