Jamani wanaume wasomi mna nini?

Jamani wanaume wasomi mna nini?

Bora wewe mwenyewe umejichukulia babu mlinzi huna kero..hahahahaa! Za siku mwalimu,upooo?

Hahaha
Kibabu changu wala hakina makeke kenyewe kiliishia la pili !!! Hahaha
Nzuri mambo?
Hanimuni imeisha?
 
Huyo jamaa siku akiamuka JOGOO HAWIKI mara moja atakuwa mpole kwa mkewe na hata kusahau ya kuwa ana-PhD! Hujafa hujaumbika mambo mengine siyo yakujivunia na kuwadharau watu wengine especially 'LIFE PARTNERS!'
 
Kila kina na muogeleaji wake...

wakati mwenzako anakomaa kupata masters na ma-Phd wewe ulikuwa umelala??

Komaa na elimu na wewe uheshimike!

cc rafiki yako

sikuhiz wanaume wana kaulimbiu yao kuwa wanaoolewa siluhizi ni form 4 na std 7 na kidoooooooogo certificate au diploma... huko kwingine ni pasua kichwa tu..... na jinsi mwanamke anavoongeza elimu ndio ana decrease chance ya kupata wanaume wakati kwa mwanaume yeye ndio ana increase chance ya kupata wanawake...yaani ni shiiiiiidaaaa....
 
Yaani kama uliingia mdomoni kwa huyo mkaka uka copy na kupaste.... Yaan anajiona yeye ndo muhimili wa Shoga angu mie bila yeye nyumba itaanguka.. Inafika stage anamwambia shukuru mungu umezaa na intellect kizazi chako kitakuwa na watoto wanaojielewaa ungezaa na vilaza wenzio ungetoa waokota makopo.. Mmh kweli is it fair??
Aise mpe pole sana, kuna watu wapo hivyo, ni selfish na insecure, yaani ni mtu kasoma lkn ana low self esteem kwa hiyo ili ajiskie vizuri na kujiamini lazima atafute mtu wa kumput dowm sasa yeye kaona ni mke, na watu wa mimi, mimi, mimi, hawafanyi effort yeyote kusaidi wanaonaga matatizo yapo kwa mtu mwingine, hata kitandani wakiunder perform ni rahisi kusema mwanamke ndo anasababisha ila wao hawana kasoro..
 
Kwanza suala la gubu ni shani ambayo mungu hakunijaalia nayo kwa kuwa naridhika na nilichonacho na sina mda Wa kumuonea mtu kijicho..don judge me behind my writings...pia sifurahii Matatizo ya mwenzangu dats y nilimwambia avumilie ndan ya ndoa yakimkifu ashirikishe familia labda wanaweza kumsaidia.. Cz hata mi Nina yangu najua changamoto ni nyingi..ntafurahije msiba Wa jirani wakati Israel hana ndugu. .
Dada mimi naona waaume wasomi ni kweli baadhi wanahayo matatizo.Kuna vitu viwili ukivipata kwa pamoja halafu ukawa huna imani juu ya mungu lazima itokee kama huyo jamaa.Mtu aliyejaaliwa elimu na wakati huohuo mungu akamjaalia hela asipokuwa makini katika kumkumbuka mungu na kujua kuwa huo ni mtihani kwake lazima tu atakuwa mjeuri na kiburi.Mm huyo mjamaa sidhani kama hata msikitini au kanisani anaenda kweli.Maana anaonesha hamjui mungu kuwa anawezakumshusha aliyejuu na kumpandisha aliyechini.
 
Yaani we acha hapa nilipo me mwenyewe natamani nikimbie nifeee....

Wahivi wapooooo
Aise pole, wakati mwingine watu kama hao ni malezi deep inside unakuta mtu anashida ya self esteem issue, ndo maana unakuta akiput down watu wengine hasa mke na watoto inasaidia kum-boost yeye, na ukiwa na mtu kama huyo ni bahati mbaya, na dalili huonekana hawa ni wale watu ukidate nao mkiwa kwenye mazungumzo anakua anajizungumzia yeye tu, shule nlikua hivi na hivi, chuo mimi ndo nlikua hivi na hivi, mimi najua kutafuta pesa bana, yaani ni me, me, me , me, hawezi hata kukuuliza vp unasemaje au kwenu hawajambo ni hatari, huwezi kuishi maaisha ya raha na mtu ka huyu..
 
Well said dawa yao na we kumdharau phd profesa kama hela yako sion nenda kapange na hizo karata mfyuuuuu... phd makalio yake atumie hiyo phd kuingia labour pumbafu kabisa
 
Eti intelectual, unaweza kuta na intelectual yake hata DUDU haisimami, basi hasira zote zinaishia kumtukana binti wa watu. Mwanaume rijali humthamini mke wake na si kuleta darasa Nyumbani! hawa ndo wale wake zao wanadungwa na ma Houseboy sababu ya ujinga wa Mme

Ha ha umesema vizuri dudu haisomami peke yake ha ha hA mpaka ifungwe p.o.p
 
Hapo chanzo ci elimu. Chanzo ni kuchokana kimapenzi na hili hutokea ktk ndoa nyingi tu hata za wasiosoma.. Kutegemeana na tabia ya mtu
 
Hebu kwanza twende trtibu, kwo huyo jamaa ni wapi, ni kule tunaendaga kwa kuvuka maji baridi?!! maana msikae mnasingizia watu wenye elimu za juu kwa sample ya wajinga wawili! btw, hivi kwa nini wanawake wengi wenye elimu kubwa wameolewa na kuachika?..na wengine wameachika kimyakimya bado wanatumia majina ya waume zao?!



Mkuu yani huyo ni nshomire aisee maaana hayo maneno ya kule kabisa kuvuka maji baridi ambapo siku hizi wanatumia sana mabasi kwenda hao nshomire ni zaidi ya shida
 
Tatizo la kuolewa na watu wa karibu na kwamseveni. Atatambiwa hadi ajute
 
Mkuu yani huyo ni nshomire aisee maaana hayo maneno ya kule kabisa kuvuka maji baridi ambapo siku hizi wanatumia sana mabasi kwenda hao nshomire ni zaidi ya shida

yaani ni zaidi ya shidaa....i have been there.
mwenyewe nikajikusanya nikanunua ka-mercedes kangu nakuja ambiwa eti hicho ki-msede changu hakina hadhi, hivii tokea line msede ukawa hauna hadhi hata kama ni mkangafu!!! hao wanawezana wenyewe kwa wenyewe
 
Hebu kwanza twende trtibu, kwo huyo jamaa ni wapi, ni kule tunaendaga kwa kuvuka maji baridi?!! maana msikae mnasingizia watu wenye elimu za juu kwa sample ya wajinga wawili! btw, hivi kwa nini wanawake wengi wenye elimu kubwa wameolewa na kuachika?..na wengine wameachika kimyakimya bado wanatumia majina ya waume zao?!

Tatizo mmegeuza mada na kuanza kuchomeka ambayo pengine hayana uhusiano!Hebu jaribuni kujadili nje ya kuuliza ambayo hayana uhusiano maana si mpaka utoke sehemu Fulani ndio ufanye haya!

Ukweli ni kwamba watu wanapokuwa na tofauti kubwa ya Elimu kwenye mahusiano ni tatizo kubwa na hili tatizo haliwezi kuonekana mwanzoni maana mapenzi yanakuwa moto moto!

Athari za utofauti mkubwa wa elimu huonekana pale wawili wanapo anza kukwaruzana na kujaribu kukosoana!

Mimi sio kwamba naunga mkono huyo binti kukashifiwa lakini nina uhakika kuna mengi hatujaaambiwa kwenye hii habari na lengo la hii habari ni kuhakikisha kila msomaji aone huyu bwana ni tatizo na mwanamke hana kosa!

Kuna uwezekano mkubwa hawa watu wanekuwa wakilumbana na kufikia kurushiana maneno na haiwezekani huyu nwanamke huwa hasemi chochote!

Muda mwingine unaweza ukawa na mtu na anakiwango Fulani cha elimu na hutegemei yeye kushindwa mambo Fulani Fulani hasa madogo na unatakiwa kujua kuwa baadhi ya wanawake ni mahodari wa kusema Mimi nina elimu .....mimi nataka mtu aina Fulani na akimpata ana anza kulialia....
Kuna mtu ana kwambia ana elimu Fulani lakini unaweza kuchoka maana hata kufikiri kwenye mambo madogo yana mshinda... na hili hata wanawake wenyewe kuwa na mwanaume wa namna hii wanaona mzigo!

Muda mwingine unaweza kukaa na mtu ukashindwa kujadili nae chochote maana kila jambo amepwaya hadi inakuwa kero!..

Kuna muda unakuwa kwenye mjadala na mtu na yeye anakuwa mtu wa ndio mzee... na hawezi kuhoji kwanini unasema hivi? Au hawezi kusema kuwa nakataa hilo sababu ya hili na hill na hakuna anayependa kuwa na akanana mzigo ambaye hawezi kutoa ushauri!

Kwa case ya huyu jamaa utaona kabisa alikuwa anategemea mkewe afanye mambo Fulani Fulani lakini si Fulani Fulani!



Swala la utofauti wa elimu linatakiwa kuzingatiwa Sana kwenye mahusiano maana lina athari kubwa!
 
Mimi nahisi nyuma ya pazia kuna kitu. Either huyo dada Kuna kitu aliharibu, na mwanzo wa kudhsrauliwa au huyo PHD holder ameruka ukuta, kuna sehemu anapooza na ndo kuanza kumdharau mwenzake.

Hiyo ya kudharau kwa sababu ya tofauti za kielimu ni kujikweza tu hamna lolote.

Bahati mbaya hii habari ina lengo la kuonesha huyu jamaa ni tatizo lakini nadhani kuna kitu zaidi ya hiki ambacho ana tueleza.
 
Ndo maana nikaamua kuolewa na asiyesoma kabisa,tabu za kudharauliana za nini!!

Tatizo hili linawakumba hata wanawake! Na ndio maana tofauti kubwa ya elimu kwenye mahusiano huleta matatizo! Hata kama mtu ana ambiwa ukweli lazima achukulie ni matusi!
 
Tabia za Binadamu hazitofautiani sana.... ni kama nyama buchani ni ile ile....
 
Queen Horse umenipasua pwaaaaa......

Kumbe rafiki yako kaja kukuambia yoote? Leo atanitambua na tabia yake ya kuanika mambo ya ndani..... Hivi vyuo vya katavinatuharibia wanawake..

Yaani dikembe nawaogopa wasomi mie akhu manyanyaso siyawezi.. Oooh mungu wangu Shoga angu ananitia simanzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom